Recent content by Maroon4

  1. M

    Si kweli kuwa Tanzania ina biashara ya Meno ya Tembo na China

    Ni Jambi lisilofichika kua soko kubwa la meno ya tembo liko China, na wachina wengi wamekamatwa katika eneo la Africa mashariki wakijihusisha na uwindaji haramu wa tembo kwa kushirikiana na wenyeji. Bila kutapatapa kua mataifa ya magharibi yana Lao Jambo ama ni spinning tu basi uchunguzi...
  2. M

    How FBME Bank Has Been Used to Facilitate or Promote Money Laundering in Tanzania...

    FBME is not the first bank to be put under sword by the US Treasury. Banks zingine kubwa na zisizo za "kiarabu" zishakutwa na masaibu Kama haya na kupigwa fines kubwa sana Kutokana na kutofuata banking regulations e.g. Barclays na Standard Chartered, banks hizi zimepigwa fines kubwa sana na...
  3. M

    PHOTO: China handovers Certificate of Vehicles; offers Tanzania more interest-free loans

    How come all the Directors in the ministry are "Acting"?
  4. M

    Jaji Warioba na Pro.Shivji wabishana kuhusu Bunge la Katiba

    Sioni ubaya wa scholars kutofautiana, na mijadala kama hii ndio inayojenga. Scholars differ and that's healthy as long as there is no abuse and it's for the better of the country.
  5. M

    Ikulu: Rais hajaidhinisha posho za wabunge!

    Ama hii ni Kama serikali ya Mugabe na Tvsangirai, Kibaki na Odinga? Same team, same objective fighting other to achieve it = poor management!!!
  6. M

    Makinda: Waandishi wa habari wanapotosha suala la Posho

    Viongozi wa serikali hii wanapoteza mwelekeo kwa kweli, Madam Makinda with all due respect hakuna aliyesema wabunge wanapokea posho hiyo kwa mwaka mzima (siku 365)! please answer the issue on the table, POSHO ZA WABUNGE HAZISTAHILI. Usisingizie waandishi wa habari kwa uroho, ukatili, tamaa...
  7. M

    Ndugai amvaa Sumaye, asema hana usafi wa kubeza posho!

    Ndugai Kama MP na Naibu Speaker ana nafasi ya kushiriki kubadilisha sheria hizi mbovu zilizotungwa, instead anatumia excuse ya kua Sumaye et al walipitisha sheria hizo mbovu hivyo nao wana haki ya kutunga sheria mbovu zaidi kwa kujinufaisha? Asitumie sababu ya urais wa 2015 ili kutojibu hoja ya...
  8. M

    Ndugai amvaa Sumaye, asema hana usafi wa kubeza posho!

    Reminds me of George Githongo's book "it's our time to eat" Ndugai anasisitiza tu kua huu ni muda wao kula hivyo waachwe kama walivyo kwani hata kina SUMAYE had their time to eat. You can't help but feel sorry for this country for having such Leaders....
  9. M

    Ndugai amvaa Sumaye, asema hana usafi wa kubeza posho!

    0 digg Naibu Spika wa Bunge,Job Ndugai ASEMA HANA USAFI WA KUBEZA NYONGEZA YA POSHO Fredy Azzah NAIBU Spika wa Bunge, Job Ndugai amemjia juu Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye kuhusu kauli yake ya posho za wabunge, akisema hakupaswa kuitoa kwani aliwahi kufanikisha kupitishwa...
  10. M

    Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

    Tatizo ni kuweka siasa kwenye kila kitu, katika WABUNGE hawahawa kuna mmoja alimuwakia Prof Tibaijuka juu ya wakazi wa Jangwani eti hatakubali wapiga kura wake wanyanyaswe, hao hao wamechukuliwa na mafuriko juzi wengi wakapoteza Mali na maisha Yao. Mbunge yule Yukon wapi sasa? Jiji hili kutwa...
  11. M

    Kilewo: Wabunge wa Dar acheni kulalamikia kauli ya Magufuli, chukueni hatua

    Na Mwandishi Wetu SAKATA la nauli mpya ya kivuko cha mv Magogoni limechukua sura mpya baada ya mfanyabiashara maarufu nchini, Azim Dewji kuwajia juu wabunge wa mkoa wa Dar es Salaam, akiwataka kuacha kumshambuliaji Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli na badala yake wahangaike kutatua matatizo ya...
  12. M

    Nape na Tendwa wanena kuhusu Kafulila

    I am no Kafulila fan...ila suala la hizi by elections inabidi lipitiwe upya. Gharama za chaguzi ndogo ni kubwa mno, mie ningependekeza ikibidi iwe defined kwenye elections law as to what should lead to a by election like death of an MP, when the current MP is found guilt of corruption and vote...
  13. M

    Spika wa bunge (Anne Makinda) akiri posho kuongezwa!

    swali ni kwa Police, wale wanaowaandama wanafunzi na wale wanaolalamika kua hali ya maisha ni ngumu na kuwapiga kwa mabomu wakisingizia ni wanasiasa wanasababisha vurugu vyuoni. Wanaowainfluence na kuwavalisha blinkers za "amani", "wanasiasa wanaharibu wanafunzi" ndio hao wamejipendelea na nyie...
  14. M

    Viwango hafifu vya timu za taifa za Tanzania kwenye michuano ya CECAFA

    Wana Jamii, Mimi Kama mdau wa michezo hususani mpira wa miguu nimekua nikifuatilia kwa ukaribu michuano ya CECAFA inayoendelea hapa jijini Dar es Salaam. Ila nimesikitishwa sana na viwango duni vya team za Tanzania Bara na Zanzibar Heroes. Swali linakuja, nani alaumiwe? Je TFF na ZFA...
Back
Top Bottom