Recent content by marmo

  1. M

    msaada teku kuhusu medical examination ipo?

    Nenda web ya teku compus ya tabora[tekutabce] utakuta medical form! Ndg teku unaenda course gani?
  2. M

    Exclusively for TEKU members!

    Kwa wale wa teku ni lazima mwk wa kwnza wote wakae hostels au waweza kupanga nje? Naomba msaada wako uliye<unaye>soma teku!!
  3. M

    Any one can help??

    Thanks alot!! May GOD shower you with many more years to live!
  4. M

    Any one can help??

    Hi Jf? Any one who can concretely describe these two courses; BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION vs BACHELOR OF ARTS IN EDUCATION! Description should be based on the differences,similarity and accessibility to employement. Please kindly help and if you don't know or you are not interested just be...
  5. M

    Wale wa TEKU tukutane kwa hapa.

    tuachieni teku yetu tukaijenge! Msomi unatakiwa ukaboreshe kisichobora! Hivi tukikutana watu wanaosoma ubaya wa chuo kitu gani??
  6. M

    New selected Students to join TEKU

    Kaka ahsante sana!! God blessings fall over you!!
  7. M

    New selected Students to join TEKU

    Kwa mwenye info undergraduate wataripot tarehe gani?
  8. M

    New selected Students to join TEKU

    Namshukuru mungu na mm nipo teku!!
  9. M

    Majina waliokosea loan board

    Ndo hiyo kaka mwambie deadline tar 30 ths month!
  10. M

    Wale wa TEKU tukutane kwa hapa.

    Nipo ndugu teku 1 bed maths! Nipe mwonekano wa nje na wa ndani ndg!
  11. M

    MSAADA -m TCU SELECTION 2013/2014

    Hivi kuna watu watatemwa tena tcu?
  12. M

    Chuo vs A level ?

    Msuli ni ule ule boss! Cdhani km kuna course ambayo inalelemama!!! So msuli ni uleule icpokuwa mazingira yamebadilika!
Back
Top Bottom