Recent content by Marknova

  1. Marknova

    Hiki Kiingereza ni cha dunia hii au ni cha Mars?

    Ndugu hicho kiingereza ni kile cha kumeza vocablary na kupachika pachika katika sentence,mambo hayo tifanya o'level wakt wa debate....
  2. Marknova

    Maisha ya Mlimwengu Boarding School:4

    Aisee mkuu nimefirah sana story yako....mm nmesoma njombe boys(Njoss) hakika umerudisha far back nmecheka baadhi ya vipengele aiasee....hasahasa suala la uchafu...mf; mm nilikuwa siogi kwa siku 6 yaan jumatatu had jumomos ikifika jumapil naoga ndoo 6 kwa pamoja et nafidia kila ndoo na siku yake....
  3. Marknova

    Historia Fupi kilichopelekea ndege ya ATCL kukamatwa SA

    Sasa mbona Musiba anasema...huyo muwekezaji alisha ikataa hiyo kesi na alifuta ila nyalandu na kundi lake,sijui kabuta nk ndo wamemuandaa mtoto wa steyhn wa uongo...ili wamuhujum Raisi na Musiba amesema tena Muwekezaj huyo hakuwahi kuzaa hata mtoto 1.( confusion)
  4. Marknova

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Binafsi naomba ufafanuz wa Elimu bure kwa mkoa wa Njombe hususani sekondari ya Ulayasi iliyopo mkoani NJOMBE kata ya Mlangali kijiji cha Ulayasi. Kufuatia sera ya CCM ya elimu bure kabisaa ya mwaka 2015 wakati wa kampeni na ikawa pia ni Ilani ya chama hicho ....Rais aliagiza wanafunzi wa...
  5. Marknova

    Prof Kabudi asitufanye watanzania wote ni wajinga tusioweza kutafsiri maneno mepesi ya kiingereza ya "disappeared and died"

    If is not only Azory Gwanda who disappeared and died" what do you mean? What i can say according to Kabudis' statement "Azory is the one of people who disappered and died.....there are many others went through this situation like Azory Gwanda.....My Take.....According to Kabudi it seems azory...
  6. Marknova

    Natafuta rafiki mwanaume

    Nmejarb sana kuku pm ila msg haij...naomb nipm wew
  7. Marknova

    Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

    Nimesave..Huyo tena...kwa voda Ntaambiwaje..tigo
  8. Marknova

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Kamwambie mkeo Bajaji sio Yangu
  9. Marknova

    Sometimes wanaume wanachangia mwanamke kuchepuka

    Wengine sio wabinafs ccta....ila mfatilie vizur utakuta hana uwezo wa kukufikisha cha msing ongeeni na mtafute solution ....hilo nmeprov kwa baadh ya ndoa.Akisha pona utakuta mama unakula mikwaju had huamin macho yako ndo mwanamke ntakupa ushindi kabisa kuwa umeacha mbwembwe ila umetafuta...
  10. Marknova

    Baada ya mapenzi

    Kaka ktika hao wawil atakae ongea sana ndo ameumia zaid anapo sema ww n mbaya ujue huko ni kutapa tapa tu....na anajarib sana kusema na akili yake ikuone mbaya lakn akil ya kwanza iliyo sema ww n handsome ndo jib kabisaaa.....mengn ni kuhangaika tu....ndo mana utakuta anajiuliza kila mahali ili...
Back
Top Bottom