Recent content by marcs

  1. marcs

    Joe Davie: 2003 Yesu Kristo alinitokea yeye mwenyewe kabisa

    mkuu tafadhari kapicha basi ka huyo yesu si ulikuwa na kale ka smart mkuu tupe kapicha tuone yesu anavyofanana
  2. marcs

    PONGEZI KWA MHESHMIWA RAIS SAMIA NA ROYAL TOUR

    nini ulichofurahia ambacho hujawahi kukiona tuna chanel ya Tanzania safari huioni au umetumwa
  3. marcs

    Dar: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani - Kunduchi

    huko hawezi kuja kwa sababu hakuna pesa pesa ipo Dar sio mikoani nyumba ikikosa chakula hata panya road wanahama
  4. marcs

    Dar: Panya Road wajeruhi 19, Mtongani - Kunduchi

    wapiga risasi walishakatazwa na mama
  5. marcs

    Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    labda kwa miti ya vivuli sawa lakini jakuna cha ajabu
  6. marcs

    Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    mji bila bahari au ziwa sio mji kwa mfano Nairobi kukosa ziwa au bahari si kitu kabisa kitoweo kitoke mombasa au kisumu wapi na wapi
  7. marcs

    Maisha halisi nchini Marekani

    jamani mimi ni fundi togali naweza kupata kazi huko mbona hamunijibu mnataka nisiende huko
  8. marcs

    Maisha halisi nchini Marekani

    mi fundi tofali naweza kipata kazi huko!!
  9. marcs

    Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

    lakini mkuu mungu anawezesha kila kitu kwa nini aniadhibu kwa kufanya dhambi wakati kaniwezesha kuifanya dhambi? aana anasema hakuna kitu kimachofanyika bila uwepo wake
  10. marcs

    Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

    kwa nini mungu hakuzuia kabla ya tendo kutendela si alijua lwamba watakwenda kuasi
  11. marcs

    Kiranga anatoa sadaka na anaamini stori za majini lakini haamini uwepo wa Mungu

    sawa kabisa kama mungu alijua tutamkosea kwa nini aliyuumba ili tuje kumkosea kisha aje kutuazibu huu ni uonevu mkubwa ua kama alijua tutamkosea kwa nini hakurekebisha au kuondoa ujio wa makosa?
  12. marcs

    Nchi 20 za Afrika zenye upatikanaji wa uhakika wa umeme

    wewe huwezi kuwa na nishati ya kudumu lwa sababu hakuna uongozi wote wezi yaana hakuna wasimamizi wote wako rikizo ya miaka kumi
  13. marcs

    Mwanamke akiwa mzuri sana huwa ana mringia hadi baba yake mzazi

    lwani mumgu hawezi kufanya kitu bila kutegemea kitu
Back
Top Bottom