Recent content by Mamshungulii

  1. M

    SoC03 Maandamano huru ni njia muhimu kwa wananchi kujieleza na kushiriki katika michakato ya utawala

    Nilikuwa namaanisha watu wote ni sawa na wana haki sawa ya kusikilizwa na kutoa maoni pasipo kuangalia tofauti zao za namna yoyote...
  2. M

    SoC03 Maandamano huru ni njia muhimu kwa wananchi kujieleza na kushiriki katika michakato ya utawala

    Kuandamana hakumuhusu masikini wala Tajiri ,sababu maendeleo ya Jamii au nchi au sehemu yeyote ile hakuna mtu ambaye ni mbora zaidi ya mwingine...watch wote night sawa na want haki sawa katika sheria kusikilizwa na kutoa maoni
  3. M

    Kigoma: Nusu ya wanafunzi hawajafanya mtihani wa Darasa la Saba, utoro watajwa

    Mungu atunusuru,wengi wao wamekimbilia mikoani kuwa wadada wakazi na machinga... Wamejazana mitaani wakiuza chai na mitumba..wengine wanadeki na kuosha vyombo mijini tu.. Yaani kigoma,ukerewe,kagera,na visiwa vyote vya kanda ya ziwa ...ilo ni tatizo
  4. M

    SoC03 Heri ya siku ya mazingira duniani 5/6/2023: ulimwengu wa kidigitali ni ulimwengu wa kijani kibichi

    Naona Hassan wetu sasa ameteuliwa kuwa mjumbe wa bodi ya ushauri wa mabadiliko ya tabia nchi.. Namkumbusha tu kama mjumbe wa dunia wa tabia nchi,malengo ya mabadiliko ya tabia nchi yanaendana kabisa na malengo ya maendeleo endelevu...hivyo basi asisahau kwamba nchini watu bado ni masikini sana...
  5. M

    SoC03 Kuna mafenesi mangapi katika mbegu moja ya fenesi

    Kesho watoto wataelewa nani alikuwa mtiifu darasani na kufanya homework na nani alikuwa mtoro na kukwepa darasa...mtaa ndio umewalea watoto na ndio unaenda kuwapokea ,wapo watakaoendelea na wapo jamii itakayowaamulia waishie mtaani...watu washaanza kupigiana simu kuhusu wadada wa kazi na wakaka...
  6. M

    SoC03 Kuelekea siku ya watu wenye ualbino duniani; Tokomeza saratani ya ngozi kufikia haki, utu na ustawi wa watu wenye Ualbino

    Hawa watu wenye ualbino ni waathirika wakubwa wa magonjwa ya saratani na Tanzania haijawa tayari kutengeneza kiwanda kikubwa cha mafuta yao kusudi wasisumbuke na wasiishiwe.. ipo haja kuwaangalia hawa watu,wengi wao ni wahanga wa ugonjwa wa afya ya akili..
  7. M

    SoC03 Wito wa Katiba Mpya: Fursa ya kutengeneza ulinzi bora wa maliasili

    Rafiki yangu nasikia na wewe hujui lolote kuhusu katiba unatakiwa uelimishwe kwanza ndio katiba itungwe au irekebishwe au ipitishwe ile iliyoachwa kusainiwa..?
  8. M

    SoC03 Angalizo kuhakikisha ulinzi wa mtoto mtandaoni

    Watoto wakimaliza mitihani wazazi wajiandae,siku hizi watoto wadogo wanahadaika na simu hivyo kupelekea mimba za utotoni au wizi na uporaji???baada ya darasa la saba wazazi/mzazi/walezi/mlezi umejiaandaaje???
  9. M

    SoC03 Tujifunze uzalendo, tuirithishe nchi siyo familia

    Watoto wetu wanaenda kufanya mtihani wa taifa kesho,je wanaandaliwaje kuwa viongozi,wananchi wazalendo ikiwa hakuna uwiano mzuri katika utoaji wa elimu...?? Ikiwa hata serikali kuanzia msingi kuna shule za kingereza pekee na zinalipiwa...ingekuwa vyema shule ya msingi kusiwepo na upendeleo...
  10. M

    SoC03 Maandamano huru ni njia muhimu kwa wananchi kujieleza na kushiriki katika michakato ya utawala

    Mr Bakteria sikiliza nikwambie, kuna miundo zaidi ya 20 za maandamano,na maandamano hayo yanaweza yakaanzishwa na mtu mmoja ,kikundi cha watu au watu wengi.. Mfano mzuri ni maandamano mengi yaliyofanywa na waTanzania wengi kwa njia ya mtandao kupinga mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na...
  11. M

    SoC03 Maandamano huru ni njia muhimu kwa wananchi kujieleza na kushiriki katika michakato ya utawala

    Maandamano ni jambo la ushirikiano ambapo watu wengi hushirikiana kwa kuhudhuria,na kutoa mawazo yao aidha wanayaona yanaweza kuleta mabadiliko kisera,kisheria au kimatendo kijamii. Waandamanaji mara nyingi huandaa maandamano kama njia ya kutoa maoni yao hadharani kwa kujaribu kushawishi maoni...
  12. M

    SoC03 Maandamano huru ni njia muhimu kwa wananchi kujieleza na kushiriki katika michakato ya utawala

    Sawa ni hapana toa sababu za msingi...kusema hapana bila ya kutoa hoja ya msingi kunaleta ukakasi kwa watu wenye uhitaji kusikilizwa... kunadhorotesha haki nyingi za watu wasio na sauti au nguvu ya kujisemea .... Kama wanataaluma na wenye maono juu ya nchi yao wanaonekana kama waasi na wakashfu...
  13. M

    SoC03 Maandamano huru ni njia muhimu kwa wananchi kujieleza na kushiriki katika michakato ya utawala

    Nchi ni ya wananchi yaani wanajamii na viongozi wamechaguliwa kuiwakilisha jamii na kuwasikiliza matakwa yao,mahitaji yao na mustakabali mzima wa wananchi wa ustawi wa maisha yao kama wawakilishi sasa kusema kwamba viongozi hawataki kuwasikiliza wananchi nani atawasikiliza na kama wanataka watu...
Back
Top Bottom