Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali...
Napenda kutoa dukuduku langu
Sisi wakazi wa Mburahati NHC eneo la Spider kama unaenda Luhanga tunasumbuliwa na vijana wacheza kamari.
Vijana hawa wanapora wananchi. Hivi Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa anafanya kazi gani kama kazi ya kulinda wananchi inamshinda?
Wakazi wa hapa hatuna raha...
Ushamba wa ulinipataga kusikia wakishua wakisifia pizza na hamburger kumbe ni mikate ilitiwa tomatoes na cheese na mayonnaise na nyama ya kusaga kuja kuonja bado hawajafika kwenye chips zege .idumu chipsi zege ulimbo wa watoto kwetu uswazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.