Recent content by mamajack

  1. M

    Yaliyojiri Mkutano wa CCM na waandishi wa habari Peacock Hotel

    Ccm wataendele kutawala,ccm daima
  2. M

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Hapo jdo nashindwa kuelewa lengo haswa la lowasa na huu irais
  3. M

    Kupitia akina Shabani Gurumo, Watanzania wanaongeza mori kuiondoa CCM Ikulu

    wnatudhalau wananchi ,lakini pia wanamdhalau huyo kikwete na chama chake.
  4. M

    Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

    nilijua jully umo,kumbe wamekusahau.
  5. M

    Wema na Ivan it's ON, Wana-date

    ngoja aolewe il asiwe kahaba, watu mnaroho za kwanini,sasa wewe ulitaka akae ivovo bila kuwa na mwanaume kwani sister huyo,mie sio ushabiki wala nini ila nimesoma coment zako inaonekana wema anakuumiza sana,eti cheap,kwa kumlinganisha na nani?wema kamuacha huyo super star wetu kakutana na ivan...
  6. M

    Suala la Escrow: Asante wabunge wetu, Mungu awabariki!

    Duh,muhongo anahali gani sijui?
  7. M

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Ulisha asema team zitto,why should I trust u.??
  8. M

    Zitto aweka pingamizi Mahakamani kuzuia Kikao cha Kamati Kuu kujadili rufaa yake kesho

    Zitto ameshachamganya madesa.umaarufu utmponza.
  9. M

    Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

    thinking apacity yako imeishia hapo.tafuta hela.
  10. M

    Kwanini gazeti la Nipashe habari za CHADEMA linazipa kipaumbele kuliko vyama vyengine?

    Kwa sababu vyama vingine vinasubir kampen ya uchaguz ndo vifanye kaz.
  11. M

    LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    Kwan watu kama mandela walitafuta umaarufu kwbjil ya nani?ukiwa na jibu la swal hili basi na kuhusu lema utakuwa umeelewa
  12. M

    Inasikitisha kuona CHADEMA wanawachangisha watu hela Iringa wakati wanapewa hela ya Ruzuku

    Jaman,wewe huchangii inakuuma na unasikitika wakat wanaochanga wanafurahia!huon kama ni ajabu?
  13. M

    Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    slaa aliambiwa ndo maana alijitetea.kwan yeye ameambiwa na nani?au hao wa uturuki?na kama aliambiwa hapa tz kwanin asitete akiwa hapa tz akatolee majibu uturuki?huko ni kukosa kujiamin na unachokifjnya.
  14. M

    Tundu Lissu azungumzia adhabu ya siku 5

    yule kigwangala wa wama au?kama angekuwa dr angebaki kuwasaidia wagonjwa pale milembe ndo ningeamin kuwa mwenyewe sio kiahaa.
  15. M

    Wanaume wanapoongea, watoto wa kiume wakae kimya - Nchemba

    Shida Mwigulu hana akili anaona wanavyomshabikia anadhan na watu huku wanamshangialia kama hao wehu wenzake.
Back
Top Bottom