Recent content by MamaBeata

  1. MamaBeata

    Urembo ulionishinda mimi.....

    Mimi kupaka make up. Naweza kununua vifaa lakini kuvipaka mtihani. Nikioga napaka lotion, powder na lip balm naridhika. Nikizidisha labda nipake mascara baasi. Zile layer za make up kwangu hazibebeki. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. MamaBeata

    English learning thread

    I am entering a car Sent from my SM-J510F using JamiiForums mobile app
  3. MamaBeata

    Mwanamke apooza mwili baada ya kufikishwa kileleni

    Ila kileleni noma sana. Ukifika utasikia mwili unazizima ganzi si ganzi loh. Kumbe wengine wanapooza kabisa[emoji23].
  4. MamaBeata

    Maumivu ya moyo....!!!

    Dah. God forbid. Lazima ikuume sana. Lakini time heals yatapita.
  5. MamaBeata

    Matatizo kwenye mahusiano

    Hakuna kitu kama hicho. Mkiwa marafiki Kuna mawili unaweza kuanza kumuonea wivu juu ya mahusiano yake alionayo sasa au ukikuta yupo na mahusiano yasiyo na furaha atataka apumzishe nafsi yake kwako. Kitu ambacho ni hatari kwa mahusiano yako ya sasa. Waswahili wanasema ukitumia mua kama fimbo ya...
  6. MamaBeata

    Matatizo kwenye mahusiano

    Kweli kabisa. Tena utakuta mtu mwingine anachat na ex! Nothing good will come out of it anyway.
  7. MamaBeata

    Swali la kichokozi: Rais ataendelea kupiga simu Clouds?

    [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
  8. MamaBeata

    Walimu ni kina nani? Je nao ni wafanyakazi wa serikali?

    [emoji23][emoji23][emoji23] Nacheka kama mazuri japokua ni machungu.
  9. MamaBeata

    Mwanaume kumtawaza mtoto ni sawa kweli?

    Mbona sawa tu halafu mi mwanangu wa kike akipoo anapenda kusafishwa na baba yake. Ni jukumu la mzazi kuhudumia mtoto.
  10. MamaBeata

    Continental decoder hii imizidi sasa

    Duh kumbe ndio walivyo continental sinunui!!
  11. MamaBeata

    Nini kinawachochea vijana Watanzania kujiunga na Ugaidi?

    Nafikiri kuna njia bora zaidi ya kudai haki zenu sio ugaidi. Hebu jipangeni kivingine.
  12. MamaBeata

    Amber Rose Divorce: Amber Leaves Wiz Khalifa

    Naskia huyu wiz Khalifa anavuta sana bangi. Utakua nayo imechangia divorce.
  13. MamaBeata

    Mshahara wa loan officer CRDB

    Umenena vema. Nakumbuka nilipograduate niliomuomba Mungu anipe ajira halali hata mshahara mdogo ila niwe na kipato changu mimi kama mimi. Bila kumtegemea mtu. I was so humble kwakweli nadhani hata ningepata ajira ya laki moja ningefanya ila sasa nilipopata nalipwa zaidi ya million mbili. Mungu...
  14. MamaBeata

    Nimetumia code hizi kujua kama simu ya samsung ni original au fake

    Zipi hizo Yahya Asaa? Maana ni kweli mchina nae akili anazo na anabuni mbinu ya kujificha kila siku.
  15. MamaBeata

    Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    Speed si mpaka akanyage mafuta? Speed inategemea uendeshaji wa mtu. Hata mimi nimewahi kuitumia na kwa kuwa mi si mkimbiaji barabarani niliitumia vizuri tu. Haina shida
Back
Top Bottom