Recent content by Mama tuntufye

  1. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Acha habari za muamala, jibu hilo la hapo juu la picha kama unataka kuchafuka zaidi naona hili tope halijakutosha, nipe namba yako nikutumie picha zako2 3 for advertise tuone kama utaendelea kujikakamua humu ndani Jforum, utatafuta pa kwenda kujificha, nikurushie1 tu uchafu ulioufanya mlipoenda...
  2. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Ugwe ngaanalyo lya kukwaamla naogopa kukukwaza nikapewa ban humu ndani bure!!! Ngimba jho mbombo jhako ijho kuulisya indutu?
  3. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    (ni thamani sio samani, samani ni furniture za ndani) Kumbe aliwapeleka watoto kwa Dada yake kwa wiki2 mweeeh mbombo ngafu itakua chakula tulichompatia kimeisha akaona akampe Dada mtu nae amsaidie kulea! Mwee muwe mnatuma japo mchele jamani, abhana bhikufwa injala kuno!
  4. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Kiswahili kibovu sijaambulia kitu, andika Kinyakyusa ama kiingereza ili twende sawa nikujibu.
  5. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Ngiimba mwesa mli bhakonyofu!!!! Nashindwa hata nikujibu nini maana sijaelewa hata kimoja, kiswahili chako kibovu haujui kuandika! Tabudarasa anyway! Aziza amekubali kuachwa na Amos wenu basi hudumieni damu yenu mnapata dhambi nyie watu, wanyakyusa hua hawatelekezi watoto bwana! Seeeee...
  6. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    "apewi uduma" ndio nini? Kalipeni ada huko holly cross shule zimefungua lastweek, sisi kuachwa kwake hakutuhusu tunaongelea habari za watoto! Chakula tutaendelea kuwalishia sisi.
  7. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Ahahahaha! Umejuaje? Tumesha Ongea nae hatusikii! Hadi juzi kabla sijapost hii kitu nilizungumza nae akanitukana, sijamdhalilisha mbona jana katuma pesa ya chakula kama sio makusudi nini? Bado ada atatuma tu! Acha watu wamsome tu hakuna namna ingine (in Pinda voice)
  8. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Wengi wanaomtetea ni rafiki zake, wanajaribu kumfichia aibu! No way msaidieni kulipa na kulipa ada ya watoto basi! Mweeeeh unatelekeza mke na watoto line police!!! Mbombo ngafu
  9. Mama tuntufye

    Afisa huyu kalitia aibu Jeshi la Polisi kwa kutelekeza mke na watoto

    Uzuri situmii ID fake, naona hadi Muhusika mwenyewe kaanza vitisho ila mie wala siogopi, ahudumie watoto wake that's all!!!! Asiongelee ongelee huko pembeni aende Mahakani tutakutana huko!
  10. Mama tuntufye

    Tanzanian socialite, Mange Kimambi apewa talaka rasmi

    Akirudi bongo wauza sembe hawatamuacha! Ninachompendea Mange hua anaandika vitu na ushahidi wa kutosha, habahatishi!
Back
Top Bottom