Recent content by malofyo

  1. M

    CCM yapendekeza wagombea binafsi kwa nafasi zote ukiwemo urais

    kamanda huo ndio mwisho wako wa kufikili?
  2. M

    CCM yapendekeza wagombea binafsi kwa nafasi zote ukiwemo urais

    kamanda ktk swala la mgombea Urais kama kweli Chadema wamependekeza ata mwenye miaka 18 anaweza kugombea da! kweli noma na kama ni kibom basi wakisafishe.
  3. M

    Asilimia 70 ya Watanzania Hawaitaichagua CCM-Lakini Itashinda na Kuendelea Kutawala

    mkuu anika kwa ufasaha kila unachojua juu ya hilo swala, hayo ni mambo mazito sana kamanda! tujuze.
  4. M

    Kuna nini katika mkasi!!??

    acha kuwaza kwa kutumia masabuli! au ndiomwisho wa akili yako?
  5. M

    Jk,bongo movie wangeweza kuokoa maisha ya SAJUKI

    da kamanda unaweka fitna hadi kwenyemsiba, kweli wewe ni nomaa, au unamajukum mengine tofauti na hilo? jipange sanaa!!!
  6. M

    Ushauri kwa Watanzania tununue madish ya chanel za bure

    kifaa gani? boss kiweke wazi. ingelikuwa uwamuzi ni wangu ningelitupilia mbali ving'amuzi. ata jana saa nane mchana vilipoteza chaneli kwa nusu saa
  7. M

    Jk,bongo movie wangeweza kuokoa maisha ya SAJUKI

    mwenyezi Mungu alitoa na ametwaa, jina lake litukuzwe, Amina.
  8. M

    PICHA: Polisi kanda maalum Tarime yafikia ngazi ya juu kabisa ya unyama (IGP usisubiri vita)

    wewe huna wazazi ndiyomaana unaongea utumbo utumbo.
  9. M

    Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    kiko moro, kinatabia ya akina "MULUGO" style
  10. M

    Nafasi za kazi TRA

    huyo kamanda na yeye ni fisadi. mafisadi hawajali mshahara ata kidogo wao wanajali wako sehem ya kupiga tu, ata ukiwaondolea mshahara kwao shwari tu.
  11. M

    UJUMBE wa SMS wa Lema kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

    do kama kweli hayo ni maneno kutoka kwa Lema basi kweli umeanza kujijenga upya kisiasa, "SIASA YA KULOPOKA" nahisi umeipa mgongo au baibai, sasa unaweza.
  12. M

    Arusha: Green guards wawapiga wananchi wa Daraja mbili

    Hivi ARUSHA kuna nini? kila mgombea mara nyingi anapewa wasifu wa " ALIKUWA JAMBAZI SUGU, JAMBAZI WA KULIPWA na WENGINE WARIDHAA" Jamani kama una cha kuchangia ni bora uwe msomaji tu, wanajitolea kuongoza Arusha kwa moyo wao wote basi wapeni nafasi na achaneni na propaganda za kichama
  13. M

    Katibu wa BAKWATA Arusha alipuliwa bomu

    ITV imeripoti katibu huyo alisikia kishindo dirishani na alipochungulia akasikia kishindo kingine na kupoteza faham kwa mda mchache,
  14. M

    Tuhuma nzito za ufisadi dhidi ya Mwakyembe pale ATC

    kamanda mbona ulipokuwa ndani ya shirika haya yote hukusema? baada tu ya kutimuliwa na kuundwa menejimenti mpya na mwapanga sasa unatuletea CHUKIZAKO HUMU, mlikula sana mwacheni mwapanga alinyanyue ATC.
  15. M

    Barua ya wazi kwa mkurugenzi wa usalama wa taifa

    tatizo si kuiondoa taasisi ya kupambana na rushwa la msingi ni TISS na TAKUKURU to work as a tim, ilikupunguza gep la rushwa TZ.
Back
Top Bottom