Recent content by MALAGASHIMBA

  1. M

    Rais Magufuli: Niliivunja Bodi ya TRA baada ya kuidhinisha mabilioni ya pesa kwenda benki binafsi

    Kama ni hivyo kweli, The President should go beyond that kwa sababu Waziri wa fedha,Katibu Mkuu na Management ya TRA walibariki maamuzi. Kwa nini wao wabaki salama?
  2. M

    PSPTB hili somo la Strategic Supply Chain mbona hatuwaelewi?

    Nowadays hakuna kitu kinatolewa na PSPTB kinaitwa CSP ila kuna CPSP
  3. M

    Wenye uelewa juu ya Bodi ya Ugavi (PSPTB)

    Utaanzia Professional stage IV,kwani kuanzia advanced diploma na kuendelea wanaanzia stage hiyo.
  4. M

    Mada maalum: Mchakato wa udahili vyuo vya afya

    Mnaoelewa msaidien mdogo wetu,kajitaidi.Pia mmuelekeze hivo vyuo vya private na Government kwa majina ikiwezekana na mahali vilipo.
  5. M

    MAJIRA: NCCR waibomoa CHADEMA

    Uongo mbaya sana,niko hapa Kagongwa kata Isagehe wilaya ya Kahama,huyu bwana anamkutano ,watu hawafiki 20,wengi ni watoto.Sasa hao 220 walitoka wapi?nina uhakika,NCCR hawana wanachama wanaofika 200 katka wilaya hii.Nimejaribu kuchukua picha lakini wamenizonga.
  6. M

    Sijui kama jimbo la Nyang'hwale linafahamika

    Ni moja ya majimbo ya iliyokuwa wilaya ya Geita na ni moja ya wilaya mpya ktk mkoa mpya wa Geita. Mbunge wake anaitwa Kazu ni std 7.
  7. M

    Wilaya ya Kahama (Shinyanga) imebaki yatima

    Huyu si alikuwa Tanga na alisema atatoka huhohuko?au kaamua kurudi nyumbani.
  8. M

    Vyombo vya usalama acheni propaganda, Sheikh Farid mlimteka kweli, ushahid huu hapa...

    Unatakiwa ukamatwe.Kwa huo utenzi wako na wewe ni uamsho.
  9. M

    Utapeli utapeli, ogopa namba hii.....

    Ni kweli jaman,kuna mfanyakazi mwenzangu nae katapeliwa 1.4m kwa wizi unaofanana na huo,tuwe makin.
  10. M

    Live Updates: Mwendelezo wa kusikilizwa Rufaa ya Lema - Oktoba 02, 2012

    Asante Mungi anaelewa ulichokuwa unakifanya na wajbu wako kwa jf users.Wengine tujifunze kwake, asante sana.
  11. M

    Basi lagongana na lori, laua watu (Ngogwa wilayani Kahama)

    Pia kijiji cha Ngogwa kipo,km chache kutoka Kahama kuelekea Bukombe
  12. M

    Chama cha wanasheria wataka tume huru kuchunguza majaji wa Tundu Lissu, wampinga Ngw'ilizi

    Wanafiki hao,walikuw wapi kabla Lissu hajasema?ni kweli hawakuwa wanafahamu hayo mapungufu?Hiyo tume italipwa na sisi makabwela? Hao majaji wanajijua na wananchi tunawajua,wawajibike kwa hiari yao.
  13. M

    Barua Ya Wazi Kwa Mwana Sultani : Ridhiwani Kikwete,

    Ndugu,CCM ina wenyewe na wenyewe ndiyo hao, kilichokurudisha ccm ni nini?baada ya ccj kubuma ungeendelea mbele sio kurudi ccm,utalalamika mpaka basi,wenzio hawaangalii.
  14. M

    On Star TV: Ipi Misingi ya Kuendeleza Amani Tanzania?

    Yahya, mada nzuri, lakin kuweni makin na hizi mada na watangazaji (host) wanaotakiwa kuendesha. Mtangazaji (host) wa Dar anapwaya, mada ni nzito kwake!
  15. M

    Muasisi wa CCJ kugombea makamu mwenyekiti UvCCM!

    Kamaliza mwaka huu CED,lakin hakuna kitu mle,ni debe tupu hilo.
Back
Top Bottom