Recent content by Madenge

  1. M

    Je, ni biashara gani Mtanzania anaweza kuifanya nje ya nchi (export)?

    Kuna bidhaa nyingi tu zinazotoka kenya kama bamia, chai. Uganda wanaleta ndizi, viazi vitamu unga wa ulezi unga wa sembe. Kuna maembe. Ila kwa ipande wa Tz bado.
  2. M

    Je, ni biashara gani Mtanzania anaweza kuifanya nje ya nchi (export)?

    Sisi watanzania wengi tunapenda kufanikiwa overnight. Hatupendi kufanya research kupata information hasa kwenye mitandao kuna taarifa za kutosha kukufumbua macho na kukuonyesha njia. Kuna vijana niliona wako nafikiri Moshi au Arusha. Wanawawezesha wakulima wadogo wanalima kunde mbichi wana...
  3. M

    Bila kadi hupandi mabasi ya mwendokasi kuanzia August 1

    London kama huna kadi hupandi basi...kama ni mgeni kuna maduka unaweza kupata kadi ya kutumia siku moja tu kwa safari zako. Wakazi wote wana kadi maalum zinajulikana kwa jina la Oyster card...unaweza ku top up kwenye maduka au train station. Madereva hawapokei kabisa pesa hii system iliisha...
  4. M

    Tundu Lissu asema watoto wake hawawezi kusoma shule za kata

    Sote tunakubaliana na mfumo mbaya wa elimu..including Tndu Lissu. Sasa yeye kama kiongozi mmojawapo wa chama cha Upinzani anasemaje juu ya kurekebisha mfumo huu mbaya. Watanzania wengi hawana uwezo wa kuwapeleka watoto shule za private hasa vijijini. Lazima kuna sababu za msingi za yeye...
  5. M

    Love story (True story)

    Hawa wanasiasa wana uzoefu mzuri tu wa kukabiliana na mambo kama haya..hivyo sidhani kama inaweza kuwa na impact kubwa kwenye position yake. Jamaa atapangua tu ni mwanasiasa ingawa bado mchanga lakini pia ni msanii.
  6. M

    Love story (True story)

    Huyu Faiza anajua anachokifanya. Kuandika kitabu sidhani kama ni makosa hata Sugu aliandika kitabu cha historia ya maisha yake na wabaya wake aliwa highlight..pamoja na mademu aliotoka nao including alivyoachwa na mtoto wa waziri mstaafu. Aliandika pia kuwa majani alikuwa akipata. Hivyo...
  7. M

    Hivi Itakuwaje CHADEMA ikichukua Nchi?

    Na wenyewe wataota magamba na baada ya muda mfupi tu watatangaza kuvuana magamba.
  8. M

    Sugu ni play boy??

    He hivi kumbe jamaa aliishaoa kwa siri Marekani...noma
  9. M

    Sugu ni play boy??

    Sugu msanii na Faiza msanii ngoma droo..mnasemaje
  10. M

    Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

    Tusilaumu tu hao watu wa nje kutokutoa kodi, maana mfumo mzima wa kutoa/kufuatilia kodi ni mbovi nchini. Wengi wa wafanya biashara na wanamuziki wa nchini wanataoa kodi inavyotakiwa? ...hao wabunge nao hatuna uhakika kama wanalipa kodi ipaswavyo, wana miradi mingi, magari ya kifahari...je...
  11. M

    Siku mungu atamke kwa binadamu wote "fuata umpendaye kwa dhati"

    Najua kuwa Mungu hafanyi kazi kwa amri za binadamu. Ila nimekuwa nafikiria hivi kama kitu kama hicho kikitokea ni mfano tu...don't take me wrong, just being curious about this...
  12. M

    Siku mungu atamke kwa binadamu wote "fuata umpendaye kwa dhati"

    Sina pepo lolote lile, ila nimekuwa nikisoma thread nyingi humu ni malalamiko mara kanikimbia mara hanitaki, na wengine wanawakubali watu ili mradi tu. Mimi ni mcha Mungu, ila hivi ikitokea kama Mungu akaweka hiyo option basi kutakuwa na mifarakano mingi tu.
  13. M

    Siku mungu atamke kwa binadamu wote "fuata umpendaye kwa dhati"

    Itokee siku moja Mwenyezi Mungu atutamkie viumbe wake kuwa kila mmoja wetu amfuate yule ampendaye kwa dhati toka moyoni. Hata kama uko kwenye ndoa/mahusiano kama mpenzi/mke/mme wako ndiye basi baki hapo hapo, lakini kama siyo basi mfuate yule ambaye moyo wako unampenda kwa dhati. Nafikiria hivi...
  14. M

    Hivi tanzania tuna wabungeee?

    Wabunge wapo kwa idadi ya namba, lakini wawakilishi wa wananchi hakuna. Wengi hupiga kelele kwa manufaa yao zaidi, hakuna uwakilishi wa kutatua matatizo ya wananchi. Wanangojea majanga yatokee ndipo waanze kupiga kelele zisizo na mpango.
  15. M

    CCM na Mategemeo yao JKT

    Hii imenikumbusha mbali sana, miezi sita hadi kufika rank ya uservice ilikuwa kama miaka. Kuna maafande wengi walikuwa wanapenda kusimamisha milingoti na makuruta usiku jambo la kujihadhari sana. Hii intake ya kwanza na hao jamaa wana kiu mbovu.
Back
Top Bottom