Recent content by Lycaon pictus

  1. Lycaon pictus

    Nini hatima ya Halima Mdee na wenzake baada ya bunge kuvunjwa?

    Achana na ya wanasiasa wakiwa kwenye vita za ulaji
  2. Lycaon pictus

    Uzalishaji mkubwa wa hewa ya ukaa (Carbon dioxide) utafanya dunia iwe kijani zaidi?

    Eti wataalamu. Sehemu kubwa ya mmea inaundwa kwa Carbon dioxide na maji. Kwa kawaida kiasi cha carbon dioxide hewani ni asilimia 0.04 tu. Je kuongezeka kwa Carbon Dioxide hewani kutafanya mimea izalishwe kwa wingi zaidi?
  3. Lycaon pictus

    LATRA yaruhusu Mabasi ya Dar - Mtwara yapite Barabara ya Songea, Makambako, Iringa kwa dharura

    Wazo la hovyo. Jeshi lisaidie. Lilete na kivuko chao na boti zao ziferry watu maeneo korofi.
  4. Lycaon pictus

    Mwezi huashiria nini?Tanzania tumekosa kutafuta msamiati wa mwezi ili kutofautisha?

    Mwezi ni chawa wa jua tu. Bora tuabudu jua. Kuabudu mwezi ni kuabudu mungu mdogo na mungu mkubwa anaona, ni kujimaliza.
  5. Lycaon pictus

    Vyombo vya Plastic husababisha ugumba

    Hii ni kweli. Hizo biphenols zina chemical structure kama za baadhi ya hormone za uzazi. Ukizitumia zinaenda kuvuruga mpangilio wa hormones. Kunywa chai kwenye vikombe vya plastiki ni hatari.
  6. Lycaon pictus

    Mtanzania afia Uturuki akifanyiwa operesheni ya shepu

    R I P Cute Underscore Shuu
  7. Lycaon pictus

    Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

    Na bado. Ukileta wageni waendeshe uchumi wako haya ndiyo matokeo yake. Unaleta wachina waweke mabonanza ya kamari nchi nzima. Matokeo yake hizo chelechele wanazokusanya wanaenda kuzibadili kuwa dola na kupeleka kwao. Shilingi inazidi kushuka, dola inazidi kuahitajika na kupanda bei. Huko...
  8. Lycaon pictus

    Bongo usijaribu kukata tiketi VIP, utatapeliwa

    Wabongo huwa hawajali kumhudumia mtu. Ukiisha walipa imetoka hiyo. Juzi kati Yanga walikuwa na mechi watu waliingia bure na VIP walilipia. Watu wa VIP kufika uwanjani wanaambiwa siti za VIP zimejaa, hawataweza kuingia. Jana Cheka Tu walikuwa na show yao mlimani siti. VIP 40k regula 20K. Kama...
  9. Lycaon pictus

    Hivi inakuaje mtu kufanya hivi?

    Nimejikokota kokota hadi nimemaliza, uuph!
Back
Top Bottom