Recent content by Lulagumye

  1. L

    Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa kiswahili

    Ubarikiwe sana ndugu. Ninashukuru sana. 🙏🏾🙏🏾
  2. L

    Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa kiswahili

    Yupo darasa la 5, mkoa wowote kama shule ipo nampeleka. Asante sana kwa ushauri
  3. L

    Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa kiswahili

    Asante sana, ningepata jina la shule ingerahisisha. Nashukuru sana, naendelea kuulizia kwa wadau waliopo Morogoro
  4. L

    Natafuta shule ya msingi ya bweni ya binafsi inayotumia mtaala wa kiswahili

    Naombeni msaada kwa anaefahamu shule ya msingi ya binafsi inayotumia kiswahili. Nitafurahi nikioata mawasiliano ya shule husika Natanguliza shukrani
  5. L

    Bei ya mbolea: Waziri Bashe amepotosha Bunge na kushangiliwa kwa kelele tu

    Ili ueleweke vizuri,ungefafanua kwa kutumia jedwali linalooneshe Mwaka na Bei na Mwaka ambao Corona na Vita vya urusi vimeanza. Otherwise graph itasumbua wengi
  6. L

    CV ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hessein Kattanga

    Habari ndugu zangu, naomba mwenye CV ya Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Hessein Katanga, atupatie. Sisi kama wananchi tunahitaji kumfahamu vizuri Kiongozi wetu huyu...
  7. L

    Zitto Kabwe: Mkopo wa Benki ya Dunia kuboresha elimu, Serikali ililenga kuinufaisha CCM kwa kununua vyuo vilivyo chini ya chama hicho

    Kwa hiyo kipindi wanaahidi kwenye Ilani ya CCM walikuwa wanatuchezea sio ee? Wanatuona wajinga wajinga eehee?
  8. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    We utakuwa beberu we we, wanyonge woote karibuni TTCL, TTCL Oyeeeee,mabando huwezi kumaliza huku, Magufuli oyeeeee, CCM oyeeee, wanyonge oyeeeeee
  9. L

    Malalamiko mbalimbali kuhusu mabadiliko ya vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo kwa mwaka 2020

    Acha kuhangaika, hamia TTCL kila siku nakwambia nyumbani kumenoga, huku mabando mpaka huwezi kuyamaliza. CCM oyeeee, Magufuli oyeee....
  10. L

    msaada wa postal address ya afisa elimu sekondari, halmashauri ya mji kibaha

    mwenye kujua postal address ya afisa elimu sekondari, halmashauri ya mji kibaha, msaada naomba
  11. L

    Matokeo ya Utumishi kwa tuliofanya usaili tarehe 5/01/2018, kutoka lini?

    kiuk kiukweli ukisikiliza watu wa mitaani, wanakatisha tamaa kabisa, wengine wanasema bila rushwa hupati, bila kujulikana hupati, etc. Ila nimegundua tatizo kubwa watu hawajiandai vya kutosha. wanaenda weupe kabisaa, halafu wakikosa wanaanza kuongea mambo ya kufikirika fikirika tu.
Back
Top Bottom