Recent content by lukanda

  1. L

    Bungeni: Kamati ya kuchunguza tuhuma za rushwa yaundwa

    SPIKA wa Bunge, Anne Makinda ameunda kamati ndogo ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuchunguza tuhuma za wabunge kuhongwa, huku Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, akitajwa kuwa mmoja wa watakaolazimika kwenda kutoa ushahidi. Mbali na kuunda kamati...
  2. L

    Spika aunda kamati maalum kuchunguza ufisadi bungeni

    SAKATA la tuhuma za ufisadi bungeni limeingia katika hatua mpya, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda kuamua kuunda Kamati ndogo ya watu watano kuchunguza tuhuma za baadhi ya wabunge kuhongwa, kwa lengo la kushawishi uamuzi unaofaa kuchukulia katika chombo hicho cha kutunga sheria...
  3. L

    Haki Za Binadamu Walaani Kufungiwa MwanaHalisi

    Watetezi wa haki za Binadamu chini ya Mwamvuli wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDs),1 kwa ushirikiano na wadau wengine tunapinga vikali kufungiwa kwa gazeti la MwanaHalisi na Serikali mnamo tarehe 30th Julai 2012 kwa kutumia Sheria ya Magazeti ya mwaka 1976 Sura...
Back
Top Bottom