Recent content by LUCAS KISIMIR

  1. LUCAS KISIMIR

    CNN: Dr. Slaa awa gumzo na hatari serikalini Tanzania

    Kwa kawaida wachochezi wa uvunjaji wa amani ni wa hatari duniani kote. CCM inaungwa mkono na waTanzania wenyewe huku CHADEMA wakiungwa mkono na wakoloni walioitawala Afrika.
  2. LUCAS KISIMIR

    BAVICHA Singida wamshukia Nape

    Nape KATIBU WA SIASA NA UENEZI CCM-TAIFA na Josephat Isango, MWENYEKITI WA BAVICHA-MKOA SINGIDA hawawezi kuwekwa kwenye ulingo mmoja na wakapambanishwa na watu wakalipia fedha zao kutazama tukio la kifo! Ni sawa na kutoa mtihani wa Chuo Kikuu kwa mtoto wa chekechea ukimshindanisha na mbobezi wa...
  3. LUCAS KISIMIR

    NAPE ajibu hoja ya Kudhoofishwa kwa Dr. Slaa...

    Sidhani kama kutukanana kutatuboresha kifikra. Nadhani kutukana ni dhana ya mnyonge wa fikara. Mimi nina imani kubwa na ninyi nyote mnaotumia mtandao huu wa jamii forum kuwa mnao upeo na uwezo mkubwa wa kifikra ambao utakuwa kinyume kabisa na utamduni huu wa matusi. Nakubli na ninajua wazi...
  4. LUCAS KISIMIR

    Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Baraza la Vijana CHADEMA wilaya ya Ilemela ajiengua uanachama!

    Tabia ya kuku wa kienyeji ndiyo inayowafanya wapungue sana kijijini. Kuku akiwa na vifaranga 12 sauti yake waijua. Vifaranga wakipungua sauti ya kuku ni ile ile ya kujiliwaza. Kwa juma zima baada ya kutoweka kifaranga cha mwisho, sauti yake ni ile ile utafikiri anaongoza jeshi la vifaranga...
  5. LUCAS KISIMIR

    Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    Ni wewe uliyeshindwa kuelewa kiswahili cha kawaida tu!
  6. LUCAS KISIMIR

    Upepo wa Kisiasa Wageuka; CCM Juu, CHADEMA Hakieleweki

    Wenzenu wa CHADEMA ni Ma-strategists waliobobea kwenye medani za kiuchumi. Wametuingiza mkenge mpaka wamepata uhalalali wa kupewa ruzuku serikalini, wamejipatia usajili wa kujenga uhalali wa kupata hata fedha za wafadhili na kwa muda mrefu walijitambulisha kwa bendera yenye RANGI NYEKUNDU...
  7. LUCAS KISIMIR

    Upepo wa Kisiasa Wageuka; CCM Juu, CHADEMA Hakieleweki

    Wenzenu wa CHADEMA ni Ma-strategists waliobobea kwenye medani za kiuchumi. Wametuingiza mkenge mpaka wamepata uhalalali wa kupewa ruzuku serikalini, wamejipatia usajili wa kujenga uhalali wa kupata hata fedha za wafadhili na kwa muda mrefu walijitambulisha kwa benfdera yenye RANGI NYEKUNDU...
  8. LUCAS KISIMIR

    Vigogo wa CHADEMA wahamia CCM - Morogoro

    Wote watakuwa mwili mmoja pamoja na Baba. Wakati wenu ukiwadiia mtarudi kwa baba naye atawapokea kwa mikono miwili na kuwafanyia sherehe. KARIBUNI CCM nafasi ingalipo tele......!
  9. LUCAS KISIMIR

    Vigogo wa CHADEMA wahamia CCM - Morogoro

    CHADEMA ni wachuuzi wa maneno wakati CCM ni watekelezaji wa mipango ymendleo itokanayo na maamuzi mkini kwa manufaa ya umma. Kila mwenye pumzi na aseme CCM juu...Juu...juu....juu zaidi! Mtatukana mpaka midomo imegeke! Nasi twasema, Amina..
  10. LUCAS KISIMIR

    Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    ADA YA MJA HUNENA....... UTANGULIZI Nimeisoma makala nyingine ya Kibanda yenye kichwa kisemacho; “KINANA NI KIMBUNGA” baada ya ile ya kwanza iliyojinadi kwa kichwa kisemacho; “NAMWOGOPA KINANA”. Mwandishi huyu ni hodari sana katika masuala yenye kuhitaji kufanyiwa uchambuzi. Ni msomi mbobezi...
  11. LUCAS KISIMIR

    Ada ya mja

    UTANGULIZI Nimeisoma makala nyingine ya Kibanda yenye kichwa kisemacho; “KINANA NI KIMBUNGA” baada ya ile ya kwanza iliyojinadi kwa kichwa kisemacho; “NAMWOGOPA KINANA”. Mwandishi huyu ni hodari sana katika masuala yenye kuhitaji kufanyiwa uchambuzi. Ni msomi mbobezi katika fani yake, mwenye...
  12. LUCAS KISIMIR

    Mizizi inyonyayo rutuba ya uzalendo Tanzania

    Nakubaliana na maudhui yaliyopo kwenye Makala ya Maggid Mjengwa ya kichwa kisemacho CCM NA NJIA YA KINANA iliyokuwa posted kwenye JAMII FORUMS ikitokea kwenye Gazeti la RAIA MWEMA. Uchambuzi wa aina hii ndio pia unaotakiwa katika mitandao ya kijamii. Inaonekana michango mingi kwenye magazeti...
  13. LUCAS KISIMIR

    Tuwe wazalendo na tuziheshimu tunu za taifa

    SURA YA KWANZA Tanzaniani nchi yetu sote tuliozaliwa humu (wazawa) pamoja na waliojiandikisha kuwaraia. Sisi sote kwa mchanganuo huo tunalo jukumu la kuiendeleza na kuilindanchi yetu kupitia uzalendo uliotukuka na wenye kujipambanua wazi wazi kila wakati,hususan kwenye masuala ya mustakabali na...
  14. LUCAS KISIMIR

    Yericko Nyerere: Lowassa na Jakaya Kikwete ndio Maadui wakuu wa CCM sio CHADEMA [Majibu]

    UFAFANUZI: Maelezo yaliyo katika maandishi ya rangi nyekundu ni yaYeriko Nyerere na maandishi ya rangi nyeusi ni mawazo yangu. Napenda kuchangia mawazo yangu kwenye hojaya Yeriko Nyerere kwa kujikita katika kichwa cha hoja yake kama kinavyojinadi. Naanzakwa kukanusha hoja isemayo; maadui...
  15. LUCAS KISIMIR

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    UFAFANUZI: Maelezo yaliyo katika maandishi ya rangi nyekundu ni yaYeriko Nyerere na maandishi ya rangi nyeusi ni mawazo yangu. 1.Lowassa na Jakaya Kikwete ndio Maadui wakuuwa ushindi wa CCM 2015 sio CHADEMA-YERIKO NYERERE Pengine wanaCCM wanajua ama hawajui adui yao mkuu katikakilele cha kushika...
Back
Top Bottom