Recent content by Lovebird

  1. Lovebird

    Kijana acha kunywa pombe za bei rahisi

    kwani wakala wa vipimo anasemaje?
  2. Lovebird

    Simba Queens inajipigia tu Yanga Princess

    Ivi nako kuna wakina Pakome / Chama / Ziki / Enonga/ Diara / Lakred etc?
  3. Lovebird

    Kama iliwahi kukukuta, nambie ulijinasua vipi kwenye hili balaa?!

    Kuambiwa ukweli unalalama, kwa mafano apo tukakagua simu yako utakuwa na charting ya mtu mmoja tu ama na wale mloachana bado umewahifadhi kwa simuu ?
  4. Lovebird

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Vijana wadogo wanaofanikiwa haraka sana ni wachache wanaishi mda mrefu.. RIP msalimie G
  5. Lovebird

    Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

    Humo barabarani mna mambo mengi sanaa, mwanzo wa safari na kila mmoja aombe kwa imani yake AMEN Mewaza nkakumbuka mada ya nyimbo za dini Bar/ama Night clubs ..... wote waliokuwa wamekaa utashangaa wananyanyuka na kuimba ama kucheza Kila mmoja kwa imani yake na aseme In shaa Allah, In sha...
  6. Lovebird

    Kwanini mwanaume mwenye wake wengi halali nao sehemu moja?

    Wataoneana wivu, endapo mmoja anakata viuno ka feni mbofu na kutoa mlio ka wa lori la FIAT likipanda mlima ili hali mwenzie ni kama wale wa ukanda ulee hawana mbwembwee, wanakwambia we tumia ukimaliza funika na hana ata miguno ya mahabati
  7. Lovebird

    Its good to be back...

    na mvua hii una lako jambo
  8. Lovebird

    Picha: Geti lililojengwa na TANAPA kuingia hifadhi ya Nyerere kwa Tsh. Bilioni 2

    Nilivoelewa ni kwamba geti limeambatanishwa na majengo yaliyopo hapo (picha haionyeshi ukubwa ma majengo, vifaa vilivyomo ndani, miundo mbinu mingineyo etc), embu kuza picha tuyaone na kutathimini jambo
  9. Lovebird

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Mda ukifika, twasema Bwana Ametoa Bwana ametwaa na jina Bwana lihimidiwe .. mali wawaachia wengina. Tuishi kwa kiasi
  10. Lovebird

    Askari Polisi aliyestaafu baada ya kufanya kazi miaka 30 analipwa kiinua mgongo Tsh. 18M ambacho ni sawa na mshahara wa mwezi mmoja wa Mbunge?

    Wakiwa kazini ufikapo kwenye dawati lao wanakupiga mikwaraaa ....... wastaafupo ukutanapo nao wanakuomba kikombe cha chai kwa kujizima data hawakumbuki matendo yao mida walipokuwa kazini
  11. Lovebird

    John Dilinga Matlow, mrithi halali wa Gardner Habash

    Karama zinatofautiana, wasikilizaji ndo wataweza landanisha utangazaji wake Ka sauti ya Diva over night hahaaaaa unaweza tamani vingi vizuri ili hali humiliki ata moyo wa ntuu
  12. Lovebird

    Kampuni zinazotengeneza mitungi ya gesi hapa kwenye hichi kifuniko mnatesa wateja

    Saaa ingine unapata shida kutoa kifuniko ka vile ku...
Back
Top Bottom