Search results

  1. Lovebird

    John Dilinga Matlow, mrithi halali wa Gardner Habash

    Karama zinatofautiana, wasikilizaji ndo wataweza landanisha utangazaji wake Ka sauti ya Diva over night hahaaaaa unaweza tamani vingi vizuri ili hali humiliki ata moyo wa ntuu
  2. Lovebird

    Kampuni zinazotengeneza mitungi ya gesi hapa kwenye hichi kifuniko mnatesa wateja

    Saaa ingine unapata shida kutoa kifuniko ka vile ku...
  3. Lovebird

    Umeelewaje katuni hii Mdau?

    A stepping stone (dini/michezo) towards winning community votes/popularity
  4. Lovebird

    Wachaga nini siri ya mafanikio yenu?

    Wachagga wanafata kauli mbiu ya Fanya kazi, pata kipato, wekeza kwa baadae (miradi, elimu ya watoto, kuwasaidia ndugu), na mwagilia moyoo (mvinyo mvinyoo)
  5. Lovebird

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Kuelewa ka pana mamba, mloko maeneo hayo chukueni mbuzi wawe wanakula maeneo jirani na kunywa maji hapoo mamba alikoonekana >>>>ukiona damu tuu ujue mambo bambam
  6. Lovebird

    Kitu gani kilikushangaza mara baada ya kuingia kwenye ndoa?

    Kwani upo wapi? Unafanya nini?....Upo na nani? .....Ndo maanaaa......... (Mwamala shaaaa 100,ooo ) Asante baby, ujue nakupenda .... Take care 😘
  7. Lovebird

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Ukibisha hodi kwa nyumba ya Ntu na kukaribishwa ndani Nke ya Ntuu usijipendekeza ingia ndani mwake hata ka mme wake hayupo
  8. Lovebird

    Wanaotoka kazini wanapitia Bar inawahusu

    Wanaume bar sio suluhisho, jifunzeni ongea na wenza wenu mueleze yaloko moyonii mwenuu Si ajabu kumkuta mhudumu wa bar anaju in and out za Mr Pombe mmewe Miss Thoda
  9. Lovebird

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Pole kwa tasnia ya habari TZ. Marehemu alikuwa mtu mwema.
  10. Lovebird

    Kwa sasa kuishi Dar es Salaam ni utumwa na mateso makubwa mno

    Dar ukiwa njiani waweza dhani watu wote ni waajiriwa ama wana business kubwa kubwa huko wakimbiliako asubuhii .... watu wanachacharika ka sisimizi/mchwaaa Kikubwa kwa jiji la dar ukipata opportunity na kuitumia vizuri hufi njaa waaalahiii vile nakwapia kwa jina la mihogo mibichi
  11. Lovebird

    Hivi mnawezaje kuchati na wanawake zenu muda wote, mnachat nini

    Story mbali mbali ikiwemo umbea, maendeleo, kujuliana hali na kukumbushana mazuri
  12. Lovebird

    Haya ni mambo 12 ambayo hujawahi kuyajua kuhusu samaki

    Kuna samaki muda mwingi majini anakuwa amegandia juu ya mwingine ka kupe, hao ndo samaki gani?
  13. Lovebird

    Haya ni mambo 25 ambayo hujawahi kuyajua kumhusu paka

    1) Paka hawezi kuhisi ladha ya utamu Mbona ukimwekea ugali plain vs samaki/nyama anakimbilia samakii/nyama na kuacha ugali?
  14. Lovebird

    Mtu wa kwanza duniani kutuma picha ya utupu kwa ajili ya mapenzi

    Mbona ka ni kinyago cha kuchongaa sio picha halisi ya mwanaadamu
  15. Lovebird

    Taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu haliya mvua na maafa ya mafuriko nchini

    Ka mahali ulipo pana umeme muda huu wa saa 16:22HRS gonga like hapa
  16. Lovebird

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Duh, ivi jamaa alosema atawataja mawaziri bado hajatajaa?
  17. Lovebird

    Video: Hizi ndio akili za bodaboda

    Ka vile walokuwa wanachukua video walifanya mambo ya kishirikinaaa ajali itokee
Back
Top Bottom