Recent content by LINC

  1. LINC

    Magazeti ya Kibongo!

    Hii kweli kiboko, hatuna wahariri makini
  2. LINC

    Tigo huawei e8150 ideos unlocked

    Nakushauri ununue Safaricom KE wanazo Huawei u8150 FREE unlock
  3. LINC

    Flash modem yako bureeee

    Ameweka kwenye blog yake na ukishaishusha tu inakudai password ambapo inakupasa uwasiliana naye na ulipie 8000 au 10000. humu ndani watu wanatoa Win7 na key for free na zaidi ya software kibao lakini mshikaji yeye anafanya biashara
  4. LINC

    Flash modem yako bureeee

    Jozzb, Humu ndani watu wanatoa software bure wewe unatuambia tulipie 8000 au 10000 ili utupatie password. kama unahitaji kufunguka basi tupe bila password au weka hewani password.
  5. LINC

    Zantel High Life Club SUCKS

    Ndugu, Kwa msaada wangu wa haraka haraka, Zantel wametoa offer kwa watumiaji wa GSM sim card kupiga simu za nje ya nchi kwa gharama nafuu yenye kiwango wasia au karibu kufikia na gharama za simu za ndani ya nchini. Hivyo basi wakajumuisha na huduma ya vifurushi endapo unayo modem yao ya...
  6. LINC

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    He's real special one. Binafsi nilikuwa simpendi (Chuki binafsi) ila nimeona mwenyewe how special he is !!! Go on Mourinho
  7. LINC

    OFFICE MEMORANDUM:Updated Office Policies (soma ucheke)

    Kama ndio hivyo basi heri nirudi kijijini kulima tangawizi
  8. LINC

    Mgao kuanza!

    Bongo tambarare bwana tumeshazoea adha aina zote ndio maana mtanzania nchi yoyote anaweza kuishi isipokuwa yenye vita tu sababu hatujazoea. Haijawahi kutokea ndani ya Mwezi mzima umeme uwe stable bila kukatika hovyo na muda mwingine bila taarifa.
  9. LINC

    Kwanini Hawaoani Hadi WAMEONJA?

    kule kwetu uchagani tunasema "SHAKE WELL BEFORE USE"
  10. LINC

    Kikwete wewe ndio maskini

    No comments brother !
  11. LINC

    Baada ya kukatika nchi nzima; umeme warejea!

    Mwanakijiji hilo nalo neno. wamekuwa na bumbuwazi hawana mbinu ya kufikiria watakula wapi
  12. LINC

    Tanzania na Digital TV: Kuanza kurushwa 2012!!

    Superman, kwa kuongezea tu kidogo kwa kile ambacho nakifahamu mimi ...hawa wachina ( Starmedia) wanatumia Decoder ambayo inakuwezesha kutumia smart-card ambayo watakupatia wao na pia gharama zake zitaanzia TZS 10,000 au zaidi kwa mwezi ila nimejaribu kufuatilia sijajua gharama ya decoder ...
  13. LINC

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ujumbe umewafikia hao hata wakijifanya hawaongei wanajijua
  14. LINC

    Matapeli wagundua mbinu mpya za kuwaibia! Fungua hapa ujionee!

    Asante ndugu kunishtua HAWANIPATI NG'O !!
  15. LINC

    Habari kutoka kwa Dr. Kairuki hospital

    Pole sana ndugu yetu, wapo KIMASLAHI ZAIDI hivyo wameangalia wapi watapata ulaji. njia ya kawaida haiwalipi sana kama KISU Linc
Back
Top Bottom