Katka ukwel uliopa na mazingira ya sasa tanzania bara(tanganyika ) na Zanzibar tunahitaj serikal 3, kinyume cha hapo kwa wa Zanzibar watavunja muungano!
Hakika Serikali 3 hazipingiki kama tunataka kulinda na kuuenzi muungano wetu
Kwa Mtazamo Wangu, Naona Ni Bora Tukawa Na Serikali Moja; Yaani Zanzibar Iwe Mkoa. Ikishindikana Kuwa Na Serikali Moja, Basi Hatuwezi Kukimbia Serikali Tatu, Yaani Serikali Ya Tanganyika, Zanzibar Na Ile Ya Jamuhuri Ya Muungano.
Sijui Wenzangu Mna Maoni Gani Juu Ya Swala Hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.