Search results

  1. L

    Mikoa tisa kuiondoa CCM madarakani

    wapi KATAVI?
  2. L

    Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mara 2, Mara 3.. Mbona Hatusemi 1? au ndo 2metekwa kimawazo na ccm na ukawa.! hebu 2piganie serikali 1, hii ndo mwarobain Wa muungano.
  3. L

    Marekani kusitisha misaada kwa Uganda

    Mwingine Ni Mugabe.
  4. L

    Kanisa Moravian : mnatudhalilisha!

    Watu Wanafanya Kazi Ya Mungu Kwa Mazoea, Ndio Maana Tumefka Hapa Tulipo. lakini pia kunahaja ya kumsihi mungu atusaidie kwa hili.
  5. L

    Kwanini akina dada wanapenda kuanika kufuli zao hadharani?

    Huko Ni Kukosa Maadili Na Kujiheshim. Kwa Mtu Anayejitambua Katu Hawezi Kuanika Kufuri Zake Hadhalan.
  6. L

    Mwanamke Ang'ata Uume wa Mumewe na Kubaki Kipisi

    Alitaka Iweke Mdomon au vp?
  7. L

    Rai ya Zitto Zuberi Kabwe na muundo wa Muungano

    mi naona zzk anazunguka, lakini TAGETI yake bado ipo kwny serikali 3.
  8. L

    Bunge la Katiba: Kutokuonyeshwa kwenye TV Live ni hujuma kwa watanzania

    kama katiba ni ya watanzania, kwann wafanye SIRI? hapo kuna uchakachuzi unataka kufanywa.!
  9. L

    CHADEMA na CUF waungana kipinga nyongeza ya posho bunge la katiba

    safi sana CDM & CUF kwa kususia posho, huo ndo uzalendo.
  10. L

    CCM na Bunge Maalum La Katiba

    Hivi kwann CCM wamekua wakitaka katiba mpya iwe ki-ccm na sio ya WATANZANIA?
  11. L

    Serikali 3 ndoo mpango mzima

    Katka ukwel uliopa na mazingira ya sasa tanzania bara(tanganyika ) na Zanzibar tunahitaj serikal 3, kinyume cha hapo kwa wa Zanzibar watavunja muungano! Hakika Serikali 3 hazipingiki kama tunataka kulinda na kuuenzi muungano wetu
  12. L

    Aliyeshinda kura za maoni CHADEMA Kalenga awekwa kiporo, Grace Tendega kupambana na CCM

    Sinkala Aligawa Kadi Kwa Vijana Ambao Si Wanakalenga, Walikua Wahuni tu. kwahyo ushindi wake haukua halali kwasababu haukuhusisha wapiga kura halali.
  13. L

    Katiba Mpya

    Kwa Mtazamo Wangu, Naona Ni Bora Tukawa Na Serikali Moja; Yaani Zanzibar Iwe Mkoa. Ikishindikana Kuwa Na Serikali Moja, Basi Hatuwezi Kukimbia Serikali Tatu, Yaani Serikali Ya Tanganyika, Zanzibar Na Ile Ya Jamuhuri Ya Muungano. Sijui Wenzangu Mna Maoni Gani Juu Ya Swala Hili.
  14. L

    Jimboni Kalenga: CCM wamsimamisha Geodfrey Mgimwa kugombea ubunge

    Wanataka Wamfute Machozi Mjane Na Wanafamilia. Na Si Kwa Manufaa Ya wanaKALENGA.
  15. L

    Mwanamke unazaa na mwanaume halafu unaolewa na mwanaume mwingine, unamwita mtt kwa jina la huyo mume

    Si Sahihi Kabisa Kumwita Mtoto Jina La Baba Mlezi. Coz Nikumshushia Heshma Baba Mlez Kana Kwamba Hawez Kuzaa Mtoto Wake
  16. L

    serekali tatu zinakuja. nani anafaa kuwa rais wa serekali ya muungano?

    Kipengele gani kinachosema rais wa jamhuri ya muungano atatoka kati ya marais WASTAAFU? habari hzo mnazitoa wap jaman?
Back
Top Bottom