Watoto wa viongozi ni nadra kutangulia kwenye harakati. Watoto wa Magufuli hawakuwa mbele wakati wa kampeni ili wavae nusu uchi au kata K na kunengua jukwaani wakitushawishi tumpe kura baba yao
Wanaotangulia ni watoto wa wengine
Mbowe is leading OUR cause

Uliwahi kuona watoto wa Magufuli wakiwa mstari wa mbele kwenye jua kali wakiwa wamevaa kata K na kunengua jukwaani wakitushawishi tumpigie baba yao kura?
Hayo hufanywa na watoto wa makapuku.
Mbowe is leading OUR cause
Nawe waonesha kiwango chako cha kusoma.
Sentensi unayoijibu inasema hivi " Katibu Mkuu MSOMI kuliko MAKATIBU WA VYAMA vyote duniani"!
Sentensi unayoinukuu haisemi "Katibu Msomi kuliko wote CHADEMA, DUNIANI nk"!
Comparative Analysis ni mojawapo ya somo ambalo huenda katika pitapita zako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.