Recent content by Kwetusongea

  1. K

    Tunauza Samaki Vibambala

    Njoo ujipatie samaki vibambala (smoked fish), wakubwa 13000 na vipande ni 4000. Napatikana Dar, Karibuni. 0784427363.
  2. K

    Naomba kujuzwa taratibu za kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho

    Kariakoo utaratibu upoje maana kule kwa wingi wa watu mzunguko wa biashara upo.
  3. K

    Naomba kujuzwa taratibu za kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho

    Naplan kuweka viatu vya wadada au urembo wa kina dada kama heren ,Chen nk.
  4. K

    Naomba kujuzwa taratibu za kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho

    M naishi kibamba sitaki kwenda mbali sana kwaajili ya kusave gharama za nauli au hata kuna sehem nyingine iyochangamka unaweza npa idea.
  5. K

    Naomba kujuzwa taratibu za kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho

    Naplan kufanya biashara maeneo ya Mbezi Mwisho. Anaejua utaratibu wa kupata eneo kwaajili ya kuweka meza ya biashara hapo Mbezi naomba anielekeze.
  6. K

    Mnanishaurije kuhusu kuchukua cheti cha udereva NIT?

    Inatakiwa kwanza uwe umesomea udereva sehem NIT awafundishi udereva wao wanatoa course za madereva whether unataka kusomea udereva wa kuendesha viongoz nk kwahyo kama ulishawah kusoma udereva sehem na una lesen nenda kaspecialize hapo hcho ndio ninachojua unaweza hata ingia kwenye Web yao au...
  7. K

    Kioo cha Saluni kinauzwa Mtoni Kijichi

    Nauza kioo cha saluni ni kikubwa bei laki 1, kipo mtoni kijichi. Mawasiliano 0784427363.
  8. K

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Kuna hawa mawakala wa ajira nje ya nchi recent nmeona wana kaz kwa wadada huko UAE na wanasema wanakulipia usafir uwe tu na passport je hili la kupokonywa passport ukifika lina ukwel.
  9. K

    Kazi kwenye nchi za Kiarabu

    Ndio n agency ya ajira nje ya nchi jaribu kutembelea insta na fb kwa kina hlo utaona
  10. K

    Kazi kwenye nchi za Kiarabu

    Chek na hawa wanaitwa competitive manpower international limited wanapg zao fb na ok insta
  11. K

    Naomba Msaada wa Kibarua

    Kiwanda kinaitwaje na wanalipaje
Back
Top Bottom