Hapana hawa sio ndugu. Ni tofauti sana. Forever Living anahusika na uuzaji wa virutubisho vya mwili hali Rifaro ni wakala wa kuuza muda wa hewani. Forever Living ni Kampuni ya Kimarekani hali Rifaro ni ya Kitanzania.
Lakini kampuni zote hizi zinatumia mfumo unaofanana wa kusambaza bidhaa...
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda.. Ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya basi, Why?
Because ndege hutumia mda mchache (mf. Ukitoma Dar kwenda Moshi ni dk45 tu kwa ndege but kwa gari ni takribani masaa 7-8).
*Linapokuja suala la MUDA NA PESA, duniani kuna makundi...
Ni vizuri ukafafanua kivipi hii ni pumbafu. Hakuna mafanikio bila kufanya kazi. Lazima ufanye kazi ndio ufanikiwe. Fursa hii inakutaka kufanya kazi. Acha kupotosha watu.
Kama hujui ni vizuri ukajifunza au ukauliza ukaeleweshwa. Karibu kama ungependa kujifunza zaid
Asante kwa kuwa na interest ya kujiongezea kipato. Nitakutumia video maalumu, ni fupi sana. Naomba utaisikiliza kwa makini baadae twaweza zungumza zaidi
Ni ukweli usiopingika kuwa karibu Watanzania million 35 wanamiliki simu. Hali hii imepelekea kampuni za mitandao ya simu kuuza muda wa hewani unaokadiriwa kufikia billion 49 kwa siku. Watu walio wengi wanatumia wastani wa sh. 500 kila siku kama muda wa maongezi.
Kuna fursa mpya kwa ajili yako...
Zitto ni kiongozi shupavu wa kizazi hiki. Mimi binafsi nakubali michango yake tangu aanze ubunge hadi sasa. Kugombea Urais ni haki yake ya kikatiba, wanachama ndio watakao amua kumteua au la kupeperusha bendera kupitia chama chake. Lakini lazima awe flexible kama wanachama watasema asubiri...
Kwa keli wana Mtwara wanazo hoja za msingi kabisa ambapo serikali haipaswi kuzipuuzia. Wana Mtwara wasikilizwe na serikali iache misimamo isiyokuwa na masilahi kwa taifa hili. Serikali ni mali ya wananchi, kutowasikiliza wananchi ni kuvunja katiba haikubaliki hata kidogo. Heko wana Mtwara
Maandamano haya tusiyakubali kwani malengo yake ni kutafuta umaarufu wa kisiasa na sio kutetea wananchi. Madhahara yake yanaweza kuwa makubwa kuliko faida tarajiwa. Nchi yetu ni ya amani, maandamani sio njia pekee tu ya kutatua matatizo yetu.
Binafsi sioni kama sera ya Majimbo ndio suluhisho ya matumizi ya rasilimali za Taifa kama Gesi, Madini na nyinginezo. Cha msingi tupeleke maoni kwenye Katiba. Rasilimali kama hizi hazipaswi kuwa sa sehemu zinapopatikana, badala yake lazima zibakie mali ya wananchi wote wa Tanzania. Vinginevyo...
Jamani tukiacha majungu huyu Bwana anastahili kuchukua Urais wa nchi hii kama tunahitaji Tanzania ipone. Kwa Upande wa CCM hana Mpinzani. Wengine porojo tuu. Tunahitaji mtu kama Magufuli awe rais wa nchi hii. Ni Magufuli pekee ambaye anaweza kupambana na Dr Slaa. CCM wasipomteua Magufuli, Slaa...
The report has been too much exaggerated. Some of the issues happened but some reasons behind such issues were not as stated. But again why addressing such report to USA? Do you think by doing so you might be creating much problems in our country while USA will be enjoying when Tanzanias will be...
Mawazo ya Magufuli hayapaswi kuchukuliwa kama mawazo ya CCM. Kwa nini Magufuli ndiye atumwa kuwakilisha chama hali kuna viongozi wakubwa na wasemaji wa chama kama akina Nape. Fuattilieni maelezo ya Magufuli jinsi walivyofahamiana na Odinga, hapo ndo utajua kwa nini alikwenda huko. Tusiwe wavivu...
People don't want to believe that Israel is the Holly land granted to Israelites by the almight God. Even if people continues supporting the Palestinians, the Israelites will remain winners because their fight has a God backing. God promised Ibrahim to offer him that land. They are not there by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.