Search results

  1. Kumhama

    Jipatie kipato kwa matumizi ya muda wa hewani na kushirikisha wengine

    Hapana hawa sio ndugu. Ni tofauti sana. Forever Living anahusika na uuzaji wa virutubisho vya mwili hali Rifaro ni wakala wa kuuza muda wa hewani. Forever Living ni Kampuni ya Kimarekani hali Rifaro ni ya Kitanzania. Lakini kampuni zote hizi zinatumia mfumo unaofanana wa kusambaza bidhaa...
  2. Kumhama

    Makundi ya watu ni kutokana na kigezo cha muda na pesa

    Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda.. Ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya basi, Why? Because ndege hutumia mda mchache (mf. Ukitoma Dar kwenda Moshi ni dk45 tu kwa ndege but kwa gari ni takribani masaa 7-8). *Linapokuja suala la MUDA NA PESA, duniani kuna makundi...
  3. Kumhama

    Jipatie kipato kwa matumizi ya muda wa hewani na kushirikisha wengine

    Ni vizuri ukafafanua kivipi hii ni pumbafu. Hakuna mafanikio bila kufanya kazi. Lazima ufanye kazi ndio ufanikiwe. Fursa hii inakutaka kufanya kazi. Acha kupotosha watu. Kama hujui ni vizuri ukajifunza au ukauliza ukaeleweshwa. Karibu kama ungependa kujifunza zaid
  4. Kumhama

    Jipatie kipato kwa matumizi ya muda wa hewani na kushirikisha wengine

    Asante kwa kuwa na interest ya kujiongezea kipato. Nitakutumia video maalumu, ni fupi sana. Naomba utaisikiliza kwa makini baadae twaweza zungumza zaidi
  5. Kumhama

    Jipatie kipato kwa matumizi ya muda wa hewani na kushirikisha wengine

    Ni ukweli usiopingika kuwa karibu Watanzania million 35 wanamiliki simu. Hali hii imepelekea kampuni za mitandao ya simu kuuza muda wa hewani unaokadiriwa kufikia billion 49 kwa siku. Watu walio wengi wanatumia wastani wa sh. 500 kila siku kama muda wa maongezi. Kuna fursa mpya kwa ajili yako...
  6. Kumhama

    Ujumbe kwa Zitto, You are a big fish in a small pond!. karibu CCM upambane kama FILIKUNJOMBE

    Zitto ni kiongozi shupavu wa kizazi hiki. Mimi binafsi nakubali michango yake tangu aanze ubunge hadi sasa. Kugombea Urais ni haki yake ya kikatiba, wanachama ndio watakao amua kumteua au la kupeperusha bendera kupitia chama chake. Lakini lazima awe flexible kama wanachama watasema asubiri...
  7. Kumhama

    Mh. Waziri Mkuu Pinda asomewa LIVE TAMKO la Shura ya Maimamu Mkoa wa Mtwara

    Kwa keli wana Mtwara wanazo hoja za msingi kabisa ambapo serikali haipaswi kuzipuuzia. Wana Mtwara wasikilizwe na serikali iache misimamo isiyokuwa na masilahi kwa taifa hili. Serikali ni mali ya wananchi, kutowasikiliza wananchi ni kuvunja katiba haikubaliki hata kidogo. Heko wana Mtwara
  8. Kumhama

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Zitto Zuberi Kabwe hana Mpinzani
  9. Kumhama

    Wito wa Maandamano makubwa ya amani ya wananchi Kahama kutaka migodi iwafaidishe wananchi

    Maandamano haya tusiyakubali kwani malengo yake ni kutafuta umaarufu wa kisiasa na sio kutetea wananchi. Madhahara yake yanaweza kuwa makubwa kuliko faida tarajiwa. Nchi yetu ni ya amani, maandamani sio njia pekee tu ya kutatua matatizo yetu.
  10. Kumhama

    Lema, Mnyika kuelekea Mtwara - kupiga M4C kwa siku TANO

    Binafsi sioni kama sera ya Majimbo ndio suluhisho ya matumizi ya rasilimali za Taifa kama Gesi, Madini na nyinginezo. Cha msingi tupeleke maoni kwenye Katiba. Rasilimali kama hizi hazipaswi kuwa sa sehemu zinapopatikana, badala yake lazima zibakie mali ya wananchi wote wa Tanzania. Vinginevyo...
  11. Kumhama

    Msafara wa magufuli waacha gumzo

    Jamani tukiacha majungu huyu Bwana anastahili kuchukua Urais wa nchi hii kama tunahitaji Tanzania ipone. Kwa Upande wa CCM hana Mpinzani. Wengine porojo tuu. Tunahitaji mtu kama Magufuli awe rais wa nchi hii. Ni Magufuli pekee ambaye anaweza kupambana na Dr Slaa. CCM wasipomteua Magufuli, Slaa...
  12. Kumhama

    Kikwete's Regime Exposed: Activists report to US Congressional Committees... For Your Eyes Only

    The report has been too much exaggerated. Some of the issues happened but some reasons behind such issues were not as stated. But again why addressing such report to USA? Do you think by doing so you might be creating much problems in our country while USA will be enjoying when Tanzanias will be...
  13. Kumhama

    On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!

    Mawazo ya Magufuli hayapaswi kuchukuliwa kama mawazo ya CCM. Kwa nini Magufuli ndiye atumwa kuwakilisha chama hali kuna viongozi wakubwa na wasemaji wa chama kama akina Nape. Fuattilieni maelezo ya Magufuli jinsi walivyofahamiana na Odinga, hapo ndo utajua kwa nini alikwenda huko. Tusiwe wavivu...
  14. Kumhama

    Palestine thanks Tanzania for support at UN

    People don't want to believe that Israel is the Holly land granted to Israelites by the almight God. Even if people continues supporting the Palestinians, the Israelites will remain winners because their fight has a God backing. God promised Ibrahim to offer him that land. They are not there by...
  15. Kumhama

    Scania 113/380 Streamline Truck 6x2 (1996)

    Ukiweka na gharama za kodi inaweza gharimu sh. Ngap? Contacts za Muuzaji?
  16. Kumhama

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    Kwa kasi ya matokeo haya, bado kuna safari, ndefu ya CHADEMA kufikia mafanikio wananchi tunayotarajia. Kwa sura hii kazi bado ipo.
  17. Kumhama

    kwa Walio Na Familia!!...Inawahusu!!

    Hapo umenena. KWa maisha ya siku hizi watu wameajli sana kutafuta riziki kuliko kuangalia familia hasa watoto. Unakuta ninyi kaka wazazi Mungu amewabariki watoto, lakini sababu ya Ubuisy wenu, unampeleka mtoto wa mwaka mmoja kwenye shule ya kulala eti unamwekea msingi wa elimu. Mtoto anakuwa...
  18. Kumhama

    Why are Jews so powerful?

    Kwa kweli hata mimi nawakubali. Migogoro inayoonekana hapa Tanzania ikihusianishwa na Udini ina chimbuko la mambo kama haya. Waisalamu wamekuwa wakilalamika kuwa wamekandamizwa na mfumo Kiristo, lakini hii sio kweli. Ni sababu hasa za Kihistoria. Kila mahali alipopita mkoloni wa Kikiristo...
Back
Top Bottom