Recent content by Kulolwa

  1. K

    Ushauri kwa Mwakembye

    Usihangaike lengo lake huyo ilikuwa kumnadi EL
  2. K

    Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru

    I knew how that priest is staunch and firm politically.Dr.wait for Magogoni in 2015.
  3. K

    Dk Slaa: Sina mpango wa kuwania Ubunge Arumeru

    Kwa busara ya huyo Priest nilijua hatagombea kwa ushawishi wa magazeti.
  4. K

    CHADEMA kuandamana Mwanza Feb 24; kupinga ufisadi, JK ajiuzulu

    Kabla hamjahamasisha na kuchangia maandamano ya Mwanza.Je mmeuliza kama utaratibu umefuatwa wa maandamano?.Kama kuna mtu ana taarifa za utaratibu uliotumika kuomba kibali atume hapa tushirikishane. Nawasilisha.
  5. K

    Ikishafika buchani, nyama hairudi kuwa ngómbe

    Hivi mbona Watanzania na Akili zetu timamu tunageuzwa mbumbu? Mhesh.mmoja alisema Haijui Dowans na wala hana maslahi nayo.Halafu huyohuyo ndiye mwenye vyombo vya Usalama imekuwaje huyo El- A dawi apenyeze mipaka NA AJE NA GIA ati ya kutusamehe/kupunguza deni.Nani amemwalika kama siyo hao hao...
  6. K

    Moto wa katiba mpya.

    Wana JF nawaomba tukumbushane ni kama sasa tunaelekea kutaka kupoteza na kuzima moto wa kushughulikia Katiba mpya.Kama kawaida yetu watanzania tunajidai tunajadiliana kwa muda mfupi halafu eti tunasahau mwasemaje juu ya hilo?
Back
Top Bottom