nenda kwenye makampuni makubwa ya security kama ultimate, warrior, kk security n.k uwa wanavitengo ivyo. wao ndo uwa wanafunga security systems kwenye makampuni makubwa. otherwise jiajili ingia mtaani tafuta dili kama izo, zipo mingi tu.
Easy,
Chomeka simu yako kwenye pc (kwa USB) itakuambia
"USB connected"
"select to copy files to/from your computer" bonyeza apo itakuja option inakwambia "connect storage to pc" ukiclick apo bas itafunguka kama flash kwenye computer yako.
Copy paste madude yako kwa amani.
Otherwise sema simu...
mkuu chadema haikufanya kampeni ya kutosha ya kuelimisha watu juu ya kumpigia kura mtatiro na kusema kwamba wakipiga kwa chadema kura itakua imeharibika..ilo ni kosa lazma walikubali....hakukua na uo uhamasishaji kabisa
nafikili hamuelewi...hii fitna ilipigwa na wenyewe uko, maana dada alishaondoa jina na alipanda jukwaani kumnadi mtatiro kwenye uchaguzi. karatasi zilipokuja wakadai eti alichelewa kutoa jina kwaio wakaprint ivo ivo ili watu wapigie chadema na kura ziharibike.. kuna some kind of bao la mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.