Duh pole sana mkuu na asante kwa kutupa taarifa mi shinyanga nkilala huwa nalala empire ipo mazingira au karena motel mara chache lakin hiyo ipo mbali na town
Mleta mada hajitambui huyo tmk ndo mpango mzima tupo wana tmk tena kwa kukupa taarifa tu jumapili karibu dar nzima wanakuja tmk kigamboni kuna beach za kufa mtu huko
Pamoja na utafiti wako mi nahis hujitambui bro temeke ni wilaya ambayo inaingiza pato kubwa kuliko yote serikalin kwa dar na ndo wilaya ilokaa kikazi zaid hao kino na ilala ni watu wa stareh tu
Duh pole sana mkuu mi nashkuru niliendanga huko sikupata majanga kama haya ila pesa kiukweli zilinitoka coz walikua wakinisimamisha sikutaka kuulisana doc aina yoyote nilikua nawapa tu napita ndo kilichonisaidai coz hata hapa bongo ndo hivyo utatimiza kila kitu lakin akikukamata hakosi makosa so...
Kwa nini siku hizi msikitin au kanisan watu hawajai na hakuna kiingilio cha ajabu kwenyw madisco na sehem za stareh kuna kiingilio lakin wanajaa hadi hapatoshi
Ni kweli mkuu mi naamin hilo coz kuna mshkaj wangu kaenda kufanya kazi dubai kwq kupitia mtandao huo mwanzon alipotumiwa mi nilizarau na kumcheka sana kumwambia njaa itatupeleka pabaya hakukata tamaa walimtumia mtihan na form akajaza jaza zote katulia kama mwezi hakuona majibu nami nikawa...
Ok nimekuelewa vizuri sana mkuu ila kuna dondoo nimezipata kua ethiopia ni mji wa siku nyingi sana na hata mitume walopita wengi wakituma wajumbe na wao pia waliombea uwe mji mzuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.