Recent content by kiroboto21

  1. kiroboto21

    Ushauri: Ukweni wanataka kunipangia tarehe ya kuoa wao ya kwangu wameikataa wakati nishawaambia wazazi wangu

    Kheri ya mwaka mpya kwanza,mimi nachokiona hapo mchumba wako anashikwa masikio na ndugu zake kwa sababu ndo wamemfanya leo awe kama alivyo(wamemsomesha),so lazima alipe fadhira,wamemlea pia na walikuwa wanamhudumie kwa miaka yote hiyo,kwa hiyo hawezi kwenda nao tofauti kabisa,na hata kwa watu...
  2. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    [emoji23][emoji23][emoji23]usije PM maana nina tabia ya kutojibu ujumbe Kaka
  3. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikutane naye ili iwaje?nishamwambia aende wapi ili apate informations anazozitaka [emoji23][emoji23]
  4. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Shukrani[emoji1317]
  5. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Nikimbie niende wapi?acha ujinga na PoVu
  6. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Subiri akapambane na wale wenye magwanda Kama ya jeshi kwanza haaaaaaaaaaaa,noma sana Poise
  7. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Acha ujinga na upumbavu,acha ushamba,unajua maana ya UJASUSI?nini nilichoongelea kinahusu UJASUSI?
  8. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Wewe utakuwa mtoto Wa bodyguard,sina Shaka au utakuwa ushawahi ishi magorofani haaaaaaaaa maana unajua kona zote haaaaa
  9. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Kaka,mimi sijabobea katika hayo mambo ya usalama sema kuna watu wengi wa karibu(ndugu zangu) wanafanya kazi katika hiyo IDARA.Kukujibu swali lako,wanaintelijensia na wale bodyguards wanaovaa airfon,wote ni waajiriwa wa TISS(president office),kuna mwanafamilia aliingia enzi zile kwenye...
  10. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Inabidi alete mrejesho hapa,pole sana kaka na kisa kilichokupata,ilikuwaje?utaweza kusimulia kama hautojali ndugu yangu
  11. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Wapi aisee??yupo utakuta ni mtumwa Wa mwana IDARA na analipwa na mwana IDARA,ofisi ya Rais haimjui(fikra) na wapo wengi sana hao,ndo utoa taarifa zote za mitaa na kila kitu kinachoendelea aisee
  12. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Haaaaaaaa watu hatareeee sanaa haaa,tena aende pale mlangoni ajifanye anaenda Emilio Mzena Memorial Hospital kutibiwa,nafikiri itakuwa njia nyepesi kuingia ndani na kupata informations zote anazozitaka haaaaa
  13. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Ahsante ndugu,unitafute wapi?kama una swali uliza hapa nami nitakujibu,hatuwezi kukutana hata iwe vipi,uwe na jumamosi njema[emoji1317]
  14. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Nachojua mimi kWa uzoefu wangu,hao wanaojisifu sana na kujionyesha sana ni wengi wao ni vijana na wameingia kwenye IDARA kindugu,labda baba mdogo au baba naye yupo IDARANI,wengi wao wapo hivyo lakini pia kuna wengine tunawajua baba zao washawahi kuwa wakurugenz Wa IDARA hii takatifu lakini...
  15. kiroboto21

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Wengine ukipita pale magorofani kijitonyama wapo pale getini na hata huku Geti la nyuma karibu na hospital ya kairuki wapo pia,wanavaa magwanda kama ya jeshi na wanaishi hostels za mle ndani lakini wale walinzi wavaa suti kabisa uwa wapo kwenye zile flats za mle ndani,hupo sahihi ndugu yangu
Back
Top Bottom