Nahitaji kufahamu Input VAT kutokana na miamala ya kibenki itakuwa inakuwa claimed vipi au tax invoice yenye matakwa yote kama ilivyo kwenye sheria ya VAT itapatikana wakati upi kumwezesha VAT registered trader kuiweka kwenye VAT return - naomba kujuzwa kwa mwenye kujua hili lilivyo
Mtoa hoja analysis na maelezo yako hayaoani hivyo kufanya hoja isiwe na mvuto sana. Jaribu kufanya analysis na maelezo vyote vilandane nakutakia sikukuu njema
Kumekuwa na uhaba mkubwa wa maji katika campus ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa takribani wiki moja sasa.
Hali hii inasababisha usumbufu mkubwa wa wanafunzi wafanyakazi na wakazi wote wa eneo hili.
Tunaomba wahusika wote kutatua tatizo hili mara moja kabla ya kulipuka madhara mengine...
Mleta hoja unataka kutuaminisha kuwa mashirika yalikufa kwa sababu aliyejitoa chamani ndiye mhusika? Hii ni dhana potofu ukweli ni kwamba chama kilichoko madarakani ndo mhusika mkuu na sasa yanaenda kufanyika MABADILIKO kukiondoa kwa njia ya amani kisha wapenda maendeleo wataingia kazini kufanya...
Duuu wakati huu ndo umjadili kuhusu ubinafsishaji wa mashirika ya umma kwa nini haikuwa wakati akiwa anayatekeleza majukukumu ya ukamishina napata hisia wazo lako zuri limepitwa na muda na kwamba mabadiliko tarajiwa yatakidhi marekebisho yote
Wana JF habari nilizozipata muda si mrefu ni kuwa wawekezaji sekta ya gesi na mafuta nchini TZ wamepunguza uwekezaji wao kwa kiasi kikubwa kiasi kwamba hata wafanyakazi katika sekta hiyo wengi wameachishwa au wataachishwa kazi hivyo basi ndoto ya uchumi wa gesi imezidi kusogezwa mbele...
Makongoro kwao ni Ikulu ndiko alikokulia hakuna cha kujifunza ni sawa usemi wa kumpiga chura teke kumwelekeza kisimani hatajifunza kuogelea ataendelea kuogelea
Nadhani kuna taratibu za kufuata kujiunga kwenye ushirikiano wa aina yeyote na ukawa pia ushauri wangu ni kuwa kama act wanania ya kujiunga na ukawa basi wafuate hizo taratibu vinginevyo tutachoshana hapa pengine act hawahitaji huo ushirika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.