Recent content by kinudy

  1. K

    Hongera TRA kwa kuweka Kikokotozi ambacho ni user friendly

    wadau naomba kuuliza, ama kwa mtu mwenye utaalamu wa ile calculate ya tra kuhusu ukokotoaji wa gharama za ushuru zinazotakiwa kulipwa wakati wa kuingiza bidhaa kutoka nje mfano gari nk ina fanya kazi kweli au mimi nimeshindwa kuitumia Tanzania Revenue Authority - Calculators & tools msaada tafadhali
  2. K

    Naomba kukutana na muwekezaji au mbia ambaye yupo tayari kuwekeza

    MIMI NI MDAU WA JUKWAA HILI NIMEJARIBU SANA KUANGALIA WADAU WENZANGU WENGI WANAPENDA KUWEKEZA LAKINI WANAOGOPA, MI NINGEPENDA NIWASHAURI AU KU SHARE NANYI MIMI NIME FANIKIWA KUANZISHA KAMPUNI YA TOURS ( UTALII) INAFANYA KAZI ZOTE UTALII WANDANI HATA ULE WA NJE,JAPO KUWA KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO...
  3. K

    msaada tutani investment companies ambazo ziko Tanzania

    asante mkuu bfexjan sasa kuna email hapo umezitupia katika uzi huu huu hizi zina muhusu nani hilo niswali langu la kwanza ,pili kama nahitajikupata mawasiliano zaidi na wewe ndugu yangu je utakuwa tayari maana hata mie uzi huu unanigusa kweli tafadhali naomba nikupe mawasiliano yangu ili tuweze...
  4. K

    ACP Hemed Msangi...

    kakakiiza acha kukurupuka rudi kwenye thread orijino usome vizuri alicho andika mwanaharakati huru sio wassira hiyo ni editing yako katika kutafuta mahali tu pakukosoa wacheni uhuni bwana kuweni watu makini thanx nawasilisha.
  5. K

    Naomba kumpata mwanasheria atakae niandikia yafuatayo

    mbona unakimbilia kwenye maswala ya salio badala ya kunitafuta ili tuweze kujadiliana kama kweli una uwezo wa kufanya kazi yenyewe plz kama unaweza nitafute kwenye mail yangu tuweze kujadiliane
  6. K

    Naomba kumpata mwanasheria atakae niandikia yafuatayo

    NAOMBA MWANA SHERIA AMBAYE ATAKAYE NIANDIKIA MEMORANDUM OF THE COMPANY NA ARTICLE OF ASSOCIATION NAOMBA TUWASILIANE KWA E-MAIL IFUATAYO kinudy@gmail.com
  7. K

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    wewe kweli maundumula hivi unajua hata dai moja la madaktari au ulikuwa umelala umekuta ma great thinker wana jadili ukaona nawewe japo uonekane umechangia hivi ulisha wahi kwenda kutibiwa kwenye hizo hospitali ambazo madaktari wana goma?ulisha wahi kupewa panadol dawa zingine ukaambiwa nenda...
  8. K

    Ujinga ni.........

    ujinga ni kuva sunglass usiku,ujinga ni kujamiaana bila kinga ujinga ni kupenda kulalamika
  9. K

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    tumetumwa pesa- mwenge posta
  10. K

    Zitto Kabwe mbunge makini kuliko wote TZ!

    john cheyo mzee wa mapesa, kwenye chama yuko peke yake, kisha huyu mzee kweli mchumia tumbo pia yeye mwenyewe ana kamati anasimamia, kwenye kulalamika wa kwanza kwenye kuwawajibisha anao walalamikia kaingia mitini, minadhani wakirudi tena bungeni hii oparation uwajibikaji ya mh' kabwe pia...
  11. K

    Mawaziri waliotajwa ktk kashfa kufikishwa ktk vyombo vya sheria

    weweeeeeeeeeeee apo chacha ni kama ukimwaga mboga na mwaga ugali
  12. K

    Karibu Dar kamanda Lema

    Karibu daslam kamanda lema na timu yako hata sisi tuna mis mambo mengi ya kujifunza kutoka kwako na timu nzima ya uhamasishaji ya chama au tupeni hata ratiba mtakuja lini ili tuwe na subira m4c peolpeesssssssss......
  13. K

    PENDEKEZO: Freeman Mbowe apewe heshima ya uongozi bora

    mkubwa mtenda haki kweli umekwenda deep in detail, kwakweli haina haja ya kuwajadili kuwa nani bora kati ya viongozi wetu wa kitaifa labda kama tunataka tukubali ukweli kuwa, pongezi za kipekee zituendee sie tuliokubali mageuzi ya kweli, kisha wao kama waanzilishi wa mageuzi hayo nao wana nafasi...
  14. K

    Lissu asimama kizimbani kwa masaa 3:30

    asante mkuu isango nimeipenda hiyo na nadhani kuna umuhimu kweli wa kukata rufaa na kutumia vifungu vya sheria kama hivi ili kumkomboa mwanaharakati mwenzetu lema kwani kama mawakala hawakujaza fomu sote za kuonyeshwa kuto ridhishwa mara nyingi kesi za magamba ni za kupikwa na wanajua mahakimu...
  15. K

    Mnyika anaonyesha umakini, uzalendo na kutambua lilompeleka Bungeni

    tupia mapointiz aliyowakilisha kamanda Mnyika basi wengine tuko mbali na luninga goodluck.
Back
Top Bottom