Karibu Dar kamanda Lema

kinudy

Member
Mar 29, 2012
25
1
Karibu daslam kamanda lema na timu yako hata sisi tuna mis mambo mengi ya kujifunza kutoka kwako na timu nzima ya uhamasishaji ya chama au tupeni hata ratiba mtakuja lini ili tuwe na subira

m4c peolpeesssssssss......
 
Akifika wengi watakuwa serious maana hawajawahi msikiliza kwa karibu!
 
Back
Top Bottom