Chama tawala na serikali vikikosa integrity, ndio matokeo yake. Chama Tawala na Viongozi ndio majambazi dhidi ya Wananchi. Anna Makinda atatumiwa kwa udi na uvumba kuipotezea Hoja hii Binafsi. Kwa Hoja kama hii angekuwepo Samweli Sita ingebidi serikali ifumuliwe na ifumwe upya.
Zito Big Up Sana
Kama nhi hii ingkuwa ya Kiislamu basi mahakama ya Kadhi ingetakiwa kuwepo. Kila mtanzania anahaki ya kuchangia hoja kuhusiana na kuanzishwa mahakama ya kadhi kwa kuwa kadhi atakuwa anakula kodi za watanzania, hivyo sio sahihi kudai kwamba eti habari ya kuanzanisha mahakama ya kadhi ni jambo la...
Jambo kubwa ni Kwamba Kadhi anataka kula kodi za Watanzania anaposhughulikia masuala ya kidini. Yaani unafanya ibada alafu unalipwa mshahara wa kutoka kwenye kodi kanakwamba idaba hiyo ni maslahi ya nchi.
Kwa kweli muungano wa Tanganyika na Zanzibar umejaa Kero. Nyerere na karume wangemaliza kuungana kwa kila kitu yasingekuwepo haya malumbano ya leo.
Pia Serikali ya Zanzibar pamoja na Baraza la wawakilishi hawataki muungano kupitia matendo yao.
Thanks
Mkuu mambo ya misaada yanaurasimu. Unajua NHIF unachangia sehemu na serikali inatop up, sasa kwa tanzania kitu chochote ambacho serikali inamkono kiko chini ya kiwango.
Kinachofanyika sasa ni kampeni tosha kwa Chadema 2015. Kwa sasa wabunge wanaotetea kwa uchungu ni chadema tu. CCM hakuna mbunge anayetetea hoja kwa nguvu.
Hili ni jambo la ajabu sana miaka 50 baada ya uhuru bado hakuna miundombinu ya maji wala maji, hakuna miundombinu ya umeme wala umeme, hakuna shule, hakuna mahospitali kwa sababu kwenda mwananyamala ni sawa na kwenda kwa mganga wa kienyeji nk.
Hivi serikali imesimamia kitu gani kikafanikiwa...
tatizo la umeme sasa ni kubwa. Rufiji basin peke yake inauwezo wa kuzalisha umeme wa kutosha kutumika tanzania na kubaki. Feasibility study zilifanywa toka miaka ya 1980. Na RUBADA ikaundwa kusimamia investment kwenye Rufiji basin. Lakini hakuna mipango na utekelezaji madhubuti. Katika ubepati...
Naona sasa tunaanza kuihalibu jamii forum, kwamba hoja inayoiponda serikali au chama tawala ndio inafaa. kama unataka kuongelea kushuka na kupanda ongelea vyama vyote ili uwe balanced.
Baada ya ukimya kwa muda mrefu. Seifu amemtambua seifu hiyo inamaana kuwa kutomtambua kwake kwa miaka mingi hakuwa sawa. Siasa is a dirty game honestly.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.