Recent content by Kin

  1. K

    Fanya hivi kunufaika na ongezeko la tozo katika miamala ya simu (M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa)

    Ni kweli kabisa maana watawala hawakuangalia hili la corona hasa upande wa Uchumi kutetereka Duniani kote.
  2. K

    Sikufanya mtihani wa biology o level!!

    nilivyokuwa nasoma o level mwalimu hakuwai kuniwekea x kama alama ktk somo hata kama sikufanya.maana yake alama zinazotumika ktk masomo ndizo ulizowekewa na kama haukufanya basi ndio maana hawakuweka ktk cheti chako.hao wanaotaka kujua unajua biology basi wafuatilie kule shuleni.
  3. K

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Magufuli na Mwakyembe wamepewa RUNGU moja ili watwangane then mafisadi wapate chance ya kuwanyooshea kidole
Back
Top Bottom