Recent content by kimweri Jr

  1. kimweri Jr

    Tafsiri ya Sizonje - Wimbo wa Mrisho Mpoto

    Picha halisi ni nyerere na mchoro wa picha ni kikwete (tafsiri isiyo rasmi)
  2. kimweri Jr

    Tafsiri ya Sizonje - Wimbo wa Mrisho Mpoto

    Picha halisi ni nyerere na mchoro wa picha ni kikwete (tafsiri isiyo sahihi)
  3. kimweri Jr

    DC wa Iramba ajitumbua mwenyewe

    Iramba watatumbuliwa wote, huyo mbunge wao tu ashukuru halmashauri kuu ya juzi kati ndio imemzuia Magu (muzee ya bastola) lakini angesharara nae mberee………!
  4. kimweri Jr

    Pemba imeikataa CCM, inakataa kurudiwa kwa uchaguzi Zanzibar

    Watu watapiga kura unguja kisha wanapanda boti kwenda kupiga pemba maana hakutakuwa na mawakala wa CUF wala vile vyama vingine visivyo na wabunge. Kuna kila sababu ya kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kuepusha uvunjifu wa amani unaoandaliwa kwa makusudi na sijui kama wanajiandaa pia...
  5. kimweri Jr

    Nafasi za JKT 2016 zitatoka lini?

    JWTZ hakuna kitu kama hicho
  6. kimweri Jr

    Mwanaume anapokutana na Bikra - Gf / Mchumba wake wa siku nyingi anamwacha fasta

    Watu wanatetea na kujitetea sana humu khs kuoa used. Ukweli ni kwamba bikra ndio zawadi pekee na ya kipekee kutoka kwa mke kwenda kwa mume pindi mnapofunga ndoa na wala sio miguno, kukata viuno, kuvaa shanga, kujua masuala ya 6×6, kuisaidia familia kiuchumi wala kuwa na mahaba na nawe. Usipokuwa...
  7. kimweri Jr

    Unajua kwanini wanaume wa Tanzania wanakufa upesi?

    Halii mtu hapa, na kufa tunakufa wote! Kulialia kiboya ni ungisi...! Lieni nyie tu maana ndio mssada wenu wakati wa shida, sisi kaaazi tu dadeki.
  8. kimweri Jr

    Rais Magufuli kufanya ziara jijini Arusha leo

    Anapita kwenda monduli kuwaapisha maafisa wa jeshi wanaomaliza mafunzo. Kwamujibu wa RC Arusha kupitia taarifa iliyotolewa na ITV
  9. kimweri Jr

    Tamko la Sahara Media Group kuhusu kufungiwa vyombo vyake

    Tumejipangaaaa, mwaka huu mtaisomaaa…… NAMBA.
  10. kimweri Jr

    Nitamtongozaje demu niliyemuona mara ya kwanza?

    Matokeo ya Form two yameshatoka kesho uende shule…!!!
  11. kimweri Jr

    Wapi MWAJABU MHINA KING'OSO

    Huyu mtu bado hajapatikana?!! Kuna uwezekano yupo Manga, mhusika fika hilo eneo kama bado hujampata!
  12. kimweri Jr

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    Ni afadhali yy kuliko wengine ndani ya chama chake.
  13. kimweri Jr

    Sifurahii kuwa 'single woman', sijui nifanyeje

    Mkumbuke mwanamke anaitwa ''SARAH'' Mrudie Mungu wako, fanya toba kisha mweleze haja zako. Yeye ni mwema kwetu, kama ukimtumainia kamwe hatakuacha uaibike....!
Back
Top Bottom