Kwa hiyo Social security kwa maneno mengine ni goverment security? mbona unatuchanganya. Ila inahisu mifuko yote na si NSSF peke pake kama mtoa mada alivyoanzisha
Ahasante kwa taarifa.
Hivi Wizara ya Afya inwezaje kuwasiliana na watumishi wake kwa njia ya magazeti? huwa wana contact zao kwenye mafaili? au ndo njia pekee wanayoweza kutumia. Njiuliza tu.
Kwa kutumia akili ya kawaida tu (ya shule ya kata) utafikiria na kusema kuwa hawa watu wa usalama ulioanisha kuwa Slaa akiingia madarakani atawabadilisha? unafikiri hao watu ni wasahabiki wa nani? si wa ccm kama inavyodhaniwa. Ni washabiki wa walioko madarakani, hivyo yeyote atakayekuwa...
wakuziba Hivi Stella Manyanya a.k.a Engeeneera wa DIT enzi hizo advanced diploma < degree, aliposema kuwa CHADEMA inahusika kwenye mgomo wa madktari aliambiwaje? anadhibitisha lini?
Ndugu kama huna mtindio wa ubongo basi una USHUKI ( Ukosefu wa Shule Kichwani) kwani mahojiano yalikuwa marahisi san kueleweka. Labda umetumwa au unapima upepo ili kukwepesha ukweli na mwelekeo. Kama ni kweli umeelewa hivi unahitaji msaada kubwa. KIAZI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.