Search results

  1. K

    HLRC kuiburuza serikali mahakamani kuhusu NSSF

    Kwa hiyo Social security kwa maneno mengine ni goverment security? mbona unatuchanganya. Ila inahisu mifuko yote na si NSSF peke pake kama mtoa mada alivyoanzisha
  2. K

    Kwako ephrahim kibonde katika jahazi radio- clouds fm

    Labda Wadudu wamepanda kichwani
  3. K

    Chadema: Yala njama dhidi ya serikali.

    Atakamatwa akitubu kwa shekhe Ponda!
  4. K

    CHADEMA wafanya Press Conference; yaliyojiri Singida- Ndago na yatokanayo

    Weka picha-tuweze ku-analyse, USIWE KAMA KIRAKA.
  5. K

    Madaktari 171 watakiwa kurudisha usajiri wao wa muda kutokana na mgomo (mcot)

    Ahasante kwa taarifa. Hivi Wizara ya Afya inwezaje kuwasiliana na watumishi wake kwa njia ya magazeti? huwa wana contact zao kwenye mafaili? au ndo njia pekee wanayoweza kutumia. Njiuliza tu.
  6. K

    5 bila za Dr Slaa, CHADEMA kwa serikali na jeshi la polisi

    Kwa kutumia akili ya kawaida tu (ya shule ya kata) utafikiria na kusema kuwa hawa watu wa usalama ulioanisha kuwa Slaa akiingia madarakani atawabadilisha? unafikiri hao watu ni wasahabiki wa nani? si wa ccm kama inavyodhaniwa. Ni washabiki wa walioko madarakani, hivyo yeyote atakayekuwa...
  7. K

    Nchemba amshika pabaya Mnyika (leo bungeni)

    wakuziba Hivi Stella Manyanya a.k.a Engeeneera wa DIT enzi hizo advanced diploma < degree, aliposema kuwa CHADEMA inahusika kwenye mgomo wa madktari aliambiwaje? anadhibitisha lini?
  8. K

    TUHUMA nzito kwa UWT/TISS; CHADEMA yabaini njama nzito kumaliza viongozi wake

    Ni wanafanya kazi katika mazingira magumu sana usiku wa manane- Mabwe n.k
  9. K

    CCM wasusia mapokezi ya Mwenge Tanga

    Mwenge wa Laana!
  10. K

    Flyover TAZARA Imetengewa Bajeti - Magufuli

    Kutengewa budget na kujengwa ni vitu viwili tofauti. Kwani ule bajaji/ pikipiki za kubeba wagojwa hazikutengewa budget? na zinafanya kazi?
  11. K

    Dr. Ulimboka na dr. Deo=kanumba na ray?

    Ndugu kama huna mtindio wa ubongo basi una USHUKI ( Ukosefu wa Shule Kichwani) kwani mahojiano yalikuwa marahisi san kueleweka. Labda umetumwa au unapima upepo ili kukwepesha ukweli na mwelekeo. Kama ni kweli umeelewa hivi unahitaji msaada kubwa. KIAZI
  12. K

    Bungeni Live: June 28, 2012

    Ritz umeiva! comments yako in points nyingi sana.
  13. K

    Bungeni Live: June 28, 2012

    Amesemea wapi hiyo?
  14. K

    Askari alokutwa hospital ndie mtuhumiwa no.1

    Kama ni upelelezi angekuwa maeanza na kuita baadhi ya mashuhuda, na si kuingia chooni na kupiga simu kuwa bado yuko hai!, Pia upelezi ungeazia kule Mabwepande-Policcm Bunju-Muhimbili. Au chronologically ilikuwa hivyo?
  15. K

    Ndugai: Mbunge wa CCM hatakiwi kupingana na serikali yake bali aishauri tuuu

    1. Ni haki ya kila mbunge kuibana serikali kisawasawa ili itekeleze ahadi zake kwa wananchi waliowachagua. Hiyo ndiyo kazi ya mbunge yeyote awe wa ccm au wa upinzani (Nape, 2012) 2. Wabunge Wabaneni Mawaziri kisawasawa, wasidhani kuwa uwaziri ni kazi rahisi (JK,2011)
Back
Top Bottom