Mtu anaweza akanunua kwenye website yao direct sio mbaya.
Hata kama nadownload free na kuuza gharama za internet ni juu yangu na huo ndo ujasiliamali wenyewe.
We sell E-Books and E-Magazines in PDF format for ease of access and convenience. From Economist, Business Week, Time Magazine, to Harvard Business Review, GQ, Maxim, FHM and World Soccer Magazine, we've got it all!
Price: $US 2 or TShs 2800/=
Email Address: send a Private Message (niPM)
wadau mi naomba kumsikia Mh. Zitto anazungumziaje swala zima la wizi wa kura? maana huu ndo mzizi wa CDM kutoka nje siku ile, kwa kuwa sijamsikia akizungumza lolote kuhusu swala hili..
nanogesha hoja
Tunawajua vizuri hao TBC, sio TBC ambao wamekua wakizima mijadala mbali mbali ya LIVE kutoka bungeni hasa akiwa anachangia mbunge wa upinzani(i.e Zitto)? sio TBC ambayo imeendesha mahojiano na mafisadi ya kuwasafisha na kuyaita exclusive? sio hao hao TBC wameshindwa kuonyesha hali halisi ya...
The can only fool us once, BUT they can't fool us Forever!!
TBC hawana weledi wowote kwenye tasnia ya habari na hao watangazaji wanalinda tu ugali wao ila wanamjua vema Dr. Slaa na chadema na miaka hii mitano ujayo watakosa cha kureport kutokana kwamba chadema imeweka makombora ya kutosha...
Batilda could not handle Arusha (she knows it), she was just pushed to run for the post, after Mrema being outdated (hauziki), i real dont understand the motives behind the one who pushed her, is it INFLUENCE? KAMTANDAO KAPYA? GHOST LEADING? :nono:
C'mon Guys we can't be fooled all the time...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.