Habari zenu wakuu,
Nielekee kwenye mada, nimekuwa nikimtongoza mwanamke kwa muda mrefu sasa lakini amekuwa hanijibu, mara nyingi huwa tunapiga stori za kawaida lakini nikifika sehemu nikiingiza mada ya mapenzi hukaa kimya pia hunipotezea kwa muda wa siku tatu hadi wiki kama sijamuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.