Recent content by kidneys

  1. K

    Ona hapa trafiki alichomfanyia mtumishi wa Mungu

    Wanaofahamu wanasaidie hapa, nashindwa kuelewa inakuaje trafik wanatoza faini za makosa barabarani tsh30000/- kila kosa wakati sheria za usalama barabarani zinaeleza tofauti. Mfano kutobeba hati ya usajiri wa gari(kadi ya gari) sheria kifungu cha 13 kinaeleza faini ya kosa hilo isiyozidi...
  2. K

    Siasa za Godbless Lema na Gavana Joho Vs Rais Kenyatta

    Kutabiri kitu kizuri au kibaya kutokea si dhambi. Ila kwakua tz inaendeshwa kwa mamlaka na sio sheria ndo maana unaona haya yanatokea.
  3. K

    Naomba ushauri kuhusu kunyonya Uke

    KUNYONYA UKE! Unaitafuta Kansa ya koo iliko pumzika. Penis no threat unless STD available
  4. K

    Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    Kuna makala moja nilisoma online ilieleza kwamba ugonjwa wa hepatitis B unaweza sababisha false positive HIV result!. Kwa wenye utaalamu na experience na mambo ya afya watujuze juu ya hili..
  5. K

    HIV test

    Mfano wa magonjwa ambayo Determiner ni sensitive ni yepi? Na ikiwa inatokea baada ya miaka mitatu vipimo vyote yaani determiner na unigold vinasoma positive na hajawahi kusex na mtu zaidi ya mkewe na huyo mkewe siku zote za vipimo ni negative, hiyo inakuaje?
  6. K

    HIV test

    kwa mtu aliyepima zaidi mara ya sita ndani ya miaka miwili na determiner inatoa majibu + wakati unigold inatoa majibu -, hapa linakuaje?
  7. K

    Usingizi baada ya chakula cha mchana husababishwa na nini???

    Hiyo Ipo Kwa Wengi, Ila Sifahamu Sababu Labda Kama Kuna Wataalamu Watueleze Ni Kwa Nini?
  8. K

    HIV test

    Experienced doctors na wadau wengine nahitaji kujua hili:- Hivi ni kweli kuna "false positive" ktk HIV TEST. Na je kama ipo hivyo inasababishwa na nini? maana si mnajua stori za vijiweni.
  9. K

    SMS hizi! Ungefanyaje?

    Maiti ni mshua wa anayelia. Believe me kidn.liv
  10. K

    Mchawi utamjua tu

    Duuu! sitamaindi kwa kuwa mi man2kidn2014@gmail.com
Back
Top Bottom