Wanaofahamu wanasaidie hapa, nashindwa kuelewa inakuaje trafik wanatoza faini za makosa barabarani tsh30000/- kila kosa wakati sheria za usalama barabarani zinaeleza tofauti. Mfano kutobeba hati ya usajiri wa gari(kadi ya gari) sheria kifungu cha 13 kinaeleza faini ya kosa hilo isiyozidi...
Kuna makala moja nilisoma online ilieleza kwamba ugonjwa wa hepatitis B unaweza sababisha false positive HIV result!. Kwa wenye utaalamu na experience na mambo ya afya watujuze juu ya hili..
Mfano wa magonjwa ambayo Determiner ni sensitive ni yepi? Na ikiwa inatokea baada ya miaka mitatu vipimo vyote yaani determiner na unigold vinasoma positive na hajawahi kusex na mtu zaidi ya mkewe na huyo mkewe siku zote za vipimo ni negative, hiyo inakuaje?
Experienced doctors na wadau wengine nahitaji kujua hili:- Hivi ni kweli kuna "false positive" ktk HIV TEST. Na je kama ipo hivyo inasababishwa na nini? maana si mnajua stori za vijiweni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.