Recent content by kicha

  1. K

    Natafuta kazi ya ukalimani wa Kichina

    我想在学习这个语言但是我住在的地方没有中文老师
  2. K

    Natafuta kazi ya ukalimani wa Kichina

    最近很多人会说中文 我真谢幕你了
  3. K

    Napenda kuona CCM ikianguka

    Dalili zinaonesha ulitumbuliwa sasa kila mtu mbaya, ulivyokuwa unakula nchi na mivyeti yako feki uliwadhihaki waliopiga shule
  4. K

    Uchaguzi 2020 Naapa sintapigia kura CHADEMA mgombea akiwa Membe

    Kwani lowasa ulishauriwa c ulizungushiwa mikono na ukenda huku watu washaweka kitita kibindoni. Kimsingi bei ikiwa muafaka inabidi uzungushe mikono tu
  5. K

    Tuache Masikhara: Rais Magufuli kwa kiasi kikubwa amefanikiwa kudhibiti ujambazi na wizi katika Mabenki

    Mkuu ao ndio ule upande wa kupinga pinga pasipo kushirikisha ubongo, msingi wao mkuu hawajui wanataka nini, leo ndege kesho boda boda, leo nchi masikini kesho takwimu hazisaidii....... Kwakuwa ni watz wenzetu tuwe nao tu .
  6. K

    Ninakuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wa watu tu

    Watu wanabuni kila mbinu za kupata pesa Alimradi siku ziende. Ww ni dume safi na humu humpati mtu
  7. K

    Uchaguzi 2020 Fatma Karume a.k.a shangazi natamani kukuona mjengoni 2020-2025

    Nilimuangalia kwenye mahojiano kadhaa ila hamna kitu. Kuweka hasira mbele tu ndicho nlichokiona ila hoja za kuvutia kumsikiliza hana.
  8. K

    Kwa kauli hii, yamkini JWTZ hakupo shwari

    Mkuu mbona kaongea kawaida sana au kulikuwa na kitu kichwani kwako ulipenda aongee hajaongea? Au ww upo uko ungependa utoe kilio chako bila kupata sehem sahihi na kuamua kutafuta huruma ya watu huku? Anyway nisamehe Kama nimekukwaza kwa mtazamo wangu.
  9. K

    Jinsi ya kulea vifaranga wa kuku wa kienyeji kwa lengo lako ni kuwa na kuku wengi?

    Hapa umempa za uso fresh manaake wabongo kila kitu kupinga utazani wanaweza kitu
  10. K

    Uchaguzi 2020 Peter Msigwa awasilisha barua kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Tanzania

    Anatumia nguvu nyingi huku mizizi ya shingo ikimtoka kutuaminisha kitu huku akijua kuwa ni uongo . Sijui anatuchukuliaje
  11. K

    Utata wa neno asilimia

    Mie kilaza naona nipo tofauti na naomba nielimishwe. Nilitegemea percent ndogo ndogo zifanye total ya mia ukiachia ile 70 percent ambayo tuna asume km 100 percent ya maji yote.
  12. K

    Rav 4 transimission problem

    Yaani Kama vile unajua shida niliyo nayo Kaka. Nnayo RAV4 ya kiengereza yenye shida iyo iyo nilihangaika Sana hatimae fundi alinambia nibadilishe control box kitu ambacho Hadi Sasa sijafanya kwa kuhofia pengine sio tatizo Hilo na kuishia kupoteza hela. Msaada zaidi kwa wenye uelewa tafadhali...
  13. K

    CCM yamfukuza uanachama Bernard Membe, Kinana apewa karipio kali huku Makamba akitoka salama

    Hahahaa ,nimejikuta nacheka kweli kiongoz Sent using Jamii Forums mobile app
  14. K

    Ole Sabaya amkamata Kapteni mstaafu wa Jeshi kisa ardhi ya TANESCO

    Najikuta nimependa sabaya alivosimama Kama kiongozi bila kumungunya maneno
  15. K

    Jenerali Mabeyo awasili Njombe kufuatilia mwenendo wa matukio ya utekaji na mauaji ya Watoto

    Nawe rudi ukaangalie mamalaka ya rais dhidi ya vyombo vya ulinzi na usalama hlf jitathmini kimoymoyo tu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom