HAPO SHIDA NI GEAR BOX YAKO NI CHAIN NA IMEKUFA KWA KUWEKA OIL AMBAYO SIO SAHIHI NDIO HUO MSTUKO UNATOKEA, MM IMENIKUTA HIYO NA NIMEFUNGUA NIMEKUTA GEAR BOX CHAIN IMEKATA KABISA, SHIDA NI OIL HAPO HUTUMII RECOMMENDED OIL
Muhimu nenda kwa fundi umeme wa magari wataipima na kugundua mara nyingi ni senser hizo zimekufa au zimekatika au bearing imechoka lakn usibadili tu bila kupima kwa ufasaha ukipima ni simple zaidi
Nina RAV 4 KILL TIME kila nikiwasha na kurudi nyuma inatoa mlio wa Ka ka ka, na ikichanganya haitoi tena na mara nyengine hata nikiachia break kwenda mbele kuna mlio wa TI TI TI, nini tatizo nimeshapima sensor zipo sawa kwa mashine, msaada mkuu tafadhali hata kama nikuletee usikie ninachosema...
Ndugu wana jamvi gari yangu inawasha taa ya ABS sio mara zote ila ukiwa safari ndefu ndio taa inawaka nikisimama nazima gari halafu nawasha na taa haiwaki tena hadi muda mwengine tena ukitembea muda inawaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.