Recent content by Kesho Uanzia Leo

  1. Kesho Uanzia Leo

    Sheikh Farid amewahi kutumikia Jeshi la Qatar

    aahaaaaaahaaaa haaahaaa kweli we ni mzanzbar asilia......
  2. Kesho Uanzia Leo

    Kwanini CHADEMA wanaficha video ya Q & A aliyofanya Mbowe DMV?

    umemaliza kazi rudi kachukue ujira wako
  3. Kesho Uanzia Leo

    TASWIRA; Viongozi mbalimbali Washiriki Mazishi ya Baba Mzazi wa Tundu Lissu!

    Wafitini kazi kwenu..utasikia mara CDM wamsusia lissu msiba..hakuna uwakilishi wa viongozi...tumewazoea...
  4. Kesho Uanzia Leo

    Kwanini IKULU ipo kimya,haijatoa TAMKO hadi sasa?

    NDUGU ZANGU NIMEINGIA KWENYE BLOG YA ccmchama.blogspot.com KUJARIBU KUSOMA NA KUONA MAONI NA MTAZAMO WA CCM JUU YA KIFO HIKI CHA KUSIKITISHA NA KILICHOACHA TAIFA KWENYE TAARUKI KUBWA LAKINI KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA SIJAPATA HABARI YOYOTE ILE ATA TANZIA INAYOHUSIANA NA MAREHEMU DAUD MWANGOSI...
  5. Kesho Uanzia Leo

    Nimeamua kujiunga na jeshi la m4c

    Jamani na mimi wa mabibo je ofisi za cdm ziko wapi nikajiunge leoleo!!!
  6. Kesho Uanzia Leo

    Nimeamua kujiunga na jeshi la m4c

    Jamani na mimi wa mabibo je ofisi za cdm ziko wapi nikajiunge leoleo!!!
  7. Kesho Uanzia Leo

    CCM wakishirikiana na Jeshi la Polisi Tanga wamewanunua ndugu wa Marehemu Ally

    Ni dhambi kubwa sana kufanya umahuti na msiba kuwa mtaji wa kisiasa!!!CCM iache kuwatukana watanzania kiasi hicho, umasikini waliotusababishia ni matusi tosha!!!Watanzania tusikubali kununulia kwa siasa za bei rahisi tunataka maendeleo!!!
  8. Kesho Uanzia Leo

    Picha: Mbinu za CCM kuzuia m4c Ulanga Mashariki

    Kishawanatulizwa kwa udhalilishaji huu
  9. Kesho Uanzia Leo

    Picha: Mbinu za CCM kuzuia m4c Ulanga Mashariki

    Hizi ni moja ya mbinu za ccm kuzuia m4c ya chadema, hapa ni wakiwa wamechimba barabara ili msafara wa chadema -m4c usiingie kijiji cha namgezi kata ya keya ulanga mashariki...kwa fikra izi je ccm imefilisika kifikra!!!
  10. Kesho Uanzia Leo

    Dr. Ulimboka azimwa

    Dr. Ulimboka akumbuke kuwa ni sisi watanzania wazalendo ndio tuliookoa maisha yake kwa kumchangia na kumpeleka kwenye matibabu nje ya nchi...na sasa ni watanzania haohao ndio tunaitaji kuwajua hao wahuaji ili tuwaangamize kabisa tusijepata garama tena ya kumpeleka mwingine nje ya nchi kwa...
  11. Kesho Uanzia Leo

    Dr. Ulimboka yupo mafichoni, kuzungumza wakati wowote!

    Jamani alishawataja na kutoa ushahidi kupitia gazeti la mwanahalisi ..... bado mnataka nini tena?
  12. Kesho Uanzia Leo

    CHADEMA tuondoleeni wasiwasi huu kama kweli mtaweza kuongoza Tanzania.!

    Wakina Tuntemeke ni aina ya viongozi wachumia tumboni ambao wako kwenye vyama vya siasa kwa ajili ya vyeo wakikosa vyeo ndio matokeo yake UASI..Viongozi wa Chadema wanamfahamu sana Tuntemeke na kuna kipindi waliahidi kumchukulia hatua za kinidhamu.sasa sijui walifikia wapi?
  13. Kesho Uanzia Leo

    Dr. Slaa, Mbowe waweka historia Kilombero!

    Mimi naona wewe ndio unamatatizo ebu soma tena iyo taarifa vizuri kisha ujisahihishe mwenyewe!!!Usikurupuke kama Membe
  14. Kesho Uanzia Leo

    siku ya mashujaa mbona simuoni Maalim Seif?

    yupo biz na jamaa zake wa uhamsho...
  15. Kesho Uanzia Leo

    Lukuvi amelidanganya bunge

    Hajui lolote kamezeshwa
Back
Top Bottom