Recent content by kennyshuaka

  1. K

    SoC03 Tumetoka wapi, tuko wapi, tunaenda wapi, na tunafikaje tunakokwenda?

    Nimekuwa nikijiuliza haya maswali muda mrefu mimi kama Mtanzania nisiweze kuyapatia majibu thabiti kutokana na kuona jinsi hali ya mazingira yaliyotuzunguka yalivyo ni kutokana na ongezeko kubwa la watanzania waliokata tamaa na kuona maisha magumu na kuchukuia maisha na kuona pengine hawapo...
  2. K

    SoC03 Hekima ni mtaji wa mabadiliko ya kila nyanja Tanzania

    NDUGU watanzania tumempuuza Hekima tusiweze kubaini kati ya jema na baya.tusimpuuze Hekima kwasababu ni mng’ao wa mwanga wa milele, kioo Safi cha matendo ya Mungu na mfano wa wema wake .ingawa Hekima ni mmoja lakini aweza kutenda chochote kwakuwa habadiliki ,na hufanya upya kila kitu katika...
Back
Top Bottom