Recent content by kendy

  1. K

    Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Kwa hiyo ule ujumbe wa USA uliokwenda Venezuela ulienda kucheza basketball 🏀?
  2. K

    Tofauti kati ya Rais Asharaf Ghani wa Afghanistan na Vlodmir Zelensky wa Ukraine

    Yule mtu alikua mwoga hatari, Pamoja na ulinzi mkali lakini aliliwa kichwa. Mungu mtaalamu
  3. K

    Safi Sana: Marekani na ujanja wake kaingizwa mkenge na Venezuela kuhusu kuuziwa mafuta

    Kwa hiyo kumbe USA ni chanzo Cha vurugu,vita na fujo zote duniani
  4. K

    Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

    Ha ha haa,we jamaa mtata sana
  5. K

    Putin asaini waraka wa kuamuru Majeshi ya Urusi kuingia Ukraine kulinda amani majimboni

    Kusema kweli Mimi nimejawa na huruma. Namuonea huruma sana Rais wa Ukraine kwa sababu ameingizwa matatizoni na USA
  6. K

    Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Hapana bana unavyonfanyia sio fair kabisa. Mwache Dada atoe maoni yake. Hatufanani kwa mawazo.
  7. K

    Wakili Kibatala anajua sana alifanyalo. Ni lazima akuchanganye tu

    Kwa hiyo ulitaka wafanyeje labda. Waweke matanga na bendela za chama zipepee nusu mringoti?
  8. K

    Zitto Kabwe: Wahariri waulizeni CHADEMA wana mikakati gani ya kumtoa Mbowe jela

    Anataka chadema idhoofu afu yeye awe kiongozi mkuu wa upinzani
  9. K

    Ni lipi kosa la Lutenant Denis Urio? Au Mimi kuna sehemu nimepitwa?

    Maisha yake. Huenda katishwa na kateswa.
  10. K

    Ni lipi kosa la Lutenant Denis Urio? Au Mimi kuna sehemu nimepitwa?

    Hapiki kwa hiari, inawezekana analazimishwa. Akina Adamoo walisaini maelezo wakiwa wamewekewa pisto kichwani. Urio ni Nani apingane na wenye nguvu?
  11. K

    Ni lipi kosa la Lutenant Denis Urio? Au Mimi kuna sehemu nimepitwa?

    Eeh Mungu wee,! Mkuu Umeongea maneno mazito Sana haya.
Back
Top Bottom