Recent content by kelea

  1. K

    Serikali yafanya kufuru, Yatumia milioni 50/- kumlipia Waziri Hoteli

    Hivi huyu ..they so called nahodha anafanya kazi gani hapa tz.....zaidi ya uwa fix cdm
  2. K

    Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

    Je unataka list ya wasio watanzania tu au wasio watanzani alkini pia si wazalendo? Kama kigoma si tanzania kama baadhi wa wabunge wake wanavyodai basi zito si mtanzania lakini nimuonavyo mimi ni mzalendo je unataka hata watu wa aina hii? au ? .....niliwahi kusikia chigweyemisi ni mzambia...
  3. K

    kwa wanaume tu

    I was curious kujua ukweli wa jambo hili ukizingatia kuwa ni sensitive sana kwa namna yoyote haiwezekani kumuuliza mtu swali la aina hii katika face to face conversation kwa iyo nikaona ni bora kutumia jukwaa hili lenye weledi wa fani mbalimbali kunijuza, maana niliamini objectivity itakuwa...
  4. K

    kwa wanaume tu

    asanteni wote kwa michango yenu.....nimepata muelekeo jibu sahihi nimeridhika na majibu yote, mood unaweza kuifunga thread (sijui kama ni sahihi kusagest kama mtoa mada ), jibu nimepata nimetosheka, usiku mwema
  5. K

    kwa wanaume tu

    hodi hodi waungwana napenda mnijuze jambo hili nimeolewa na nina miaka kadhaa katika ndoa yangu....kuna jambo nataka niwe clear ....mume wangu mara nyingi amekua akinisifia kuwa 'kitumbua changu kimeumuka sana ...na anadai wanaume hupenda hali hiyo.... nikimuuliza kwanini hana straight forward...
Back
Top Bottom