Najiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015???????
1 Nani atakua raisi wa Tanzania?
2. Nani atakwenda jela na nani atakua huru?
3. Kama mfalme akingangania madaraka nini kitatokea?
4. Je itaundwa tume kuchunguza maovu yote yanayotokea sasa?
5. Je tutajua ukweli kwa waliko wakina...
Umeusema ukweli wote, yaani kama utaacha kesi iendelee na wewe kushinda unaweza ukadai fidia. Lalini ukiomba msamaha utatia saini kutokuishitaki serikali mbeleni hata awamu ya 6
UMENIWEKA NDANI MIAKA MINNE, UMESWIDWA KULETA USHAHIDI WAKO, leo unaniambia niombe msamaha, wa kitu gani? kwani kwa kutuhumiwa ndio INAMAANA ninahatia ya hilo kosa ulilonituhumu nalo? LETA USHAHIDI WAKO MAHAKAMA INIONE NINAKOSA INIHUKUMU KWANZA NDIO NIOMBE MSAHAMA.
Slowly, slowly our beloved motherland is becoming a Monarch lead by his Majesty the Emperor of Tanzania.
The trend is that, now the other two branches (Legislative and Judicial) are bowing their heads to the Emperor.
Hata kama hujafanya kosa lolote, ketendo cha kumsema Emperor ni “MSHAMBA” ni...
Alichokifanya Jaguar ni sawasawa na kumwagia Petrol kwenye moto unaowaka chinichini!!!!!! Matatizo kati ya Kenya na TZ yako siku nyingi sana. Lankini JK alikua anatumia busara na uzoefu wa kidiplomasia kuyamaliza haya mambo.
- Hivi tujiulize ilikua ni lazima kuvichoma vile vifaranga vya kuku...
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 UTANGULIZI MISINGI YA KATIBA Sheria ya 1984 Na.15 ib.3 KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani: NA KWA KUWA...
Quotation: "When government fears the people, there is liberty. When the people fear the government, there is tyranny." By TJ
Viongozi wanatakiwa kua wanyenyekefu mbele ya watu wanaowaongoza, kwa sababu mamlaka waliyapata kutoka kwao.
Lakini kama mfumo wa uchanguzi hautoi kiongozi watu...
Ndugu yangu Phillipo sheria ni msemeno, unakata pande mbili, lakini kwa awamu hii ya tano, unakata pande moja tu. Je yule aliyewanyima vibali mawakala wa CHADEMA , hakuvuja sheria?
Hivi kupiga KELELE ni kuvunja sheria gani za Watanzania?
kuna kelele za aina mbili; kelele za kusifia na kelele za kupinga.
sasa hapa JIWE ana refer kelele za kupinga na kuhoji ndio JINAI kwake na wataishia MAGEREZANI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.