Search results

  1. K

    What will happen after November 2025?

    Najiuliza swali tu, nini kitatokea baada ya November 2015??????? 1 Nani atakua raisi wa Tanzania? 2. Nani atakwenda jela na nani atakua huru? 3. Kama mfalme akingangania madaraka nini kitatokea? 4. Je itaundwa tume kuchunguza maovu yote yanayotokea sasa? 5. Je tutajua ukweli kwa waliko wakina...
  2. K

    Nawaona Seth na Rugemalira hawa wameamua kama ni kufa basi wacha wafe!

    Umeusema ukweli wote, yaani kama utaacha kesi iendelee na wewe kushinda unaweza ukadai fidia. Lalini ukiomba msamaha utatia saini kutokuishitaki serikali mbeleni hata awamu ya 6
  3. K

    Ikulu: Washtakiwa 467 wa Uhujumu Uchumi wapeleka maombi kwa DPP wakitaka kukiri makosa yao na kurejesha takribani Tsh. Bilioni 107

    UMENIWEKA NDANI MIAKA MINNE, UMESWIDWA KULETA USHAHIDI WAKO, leo unaniambia niombe msamaha, wa kitu gani? kwani kwa kutuhumiwa ndio INAMAANA ninahatia ya hilo kosa ulilonituhumu nalo? LETA USHAHIDI WAKO MAHAKAMA INIONE NINAKOSA INIHUKUMU KWANZA NDIO NIOMBE MSAHAMA.
  4. K

    Is Tanzania a Monarch or a Republic?

    Slowly, slowly our beloved motherland is becoming a Monarch lead by his Majesty the Emperor of Tanzania. The trend is that, now the other two branches (Legislative and Judicial) are bowing their heads to the Emperor. Hata kama hujafanya kosa lolote, ketendo cha kumsema Emperor ni “MSHAMBA” ni...
  5. K

    Mbunge Garisa: Tanzania Walituchomea kuku,wakapiga mnada ng'ombe wetu

    Alichokifanya Jaguar ni sawasawa na kumwagia Petrol kwenye moto unaowaka chinichini!!!!!! Matatizo kati ya Kenya na TZ yako siku nyingi sana. Lankini JK alikua anatumia busara na uzoefu wa kidiplomasia kuyamaliza haya mambo. - Hivi tujiulize ilikua ni lazima kuvichoma vile vifaranga vya kuku...
  6. K

    Freeman Mbowe: Ndani ya gereza la Segerea kuna ukiukwaji wa haki za binadamu ikiwa ni pamoja, kukosekana kwa mahitaji muhimu na msongamano wa watu

    mbona huuliz Libumba anakua mwenyekiti kwa miaka mingapi sasa? we ccm mbowe anakuhusu nini?
  7. K

    Job Ndugai: Ipo haja ya kusimamisha mshahara wa Tundu Lissu kwa sababu hayupo jimboni, Bungeni na hospitalini na sijapewa taarifa ya Daktari

    Kila kiongozi wa siasa na Serikali hasa wa upande wa Dol, mapaka mabalozi na Bashite wanataka arudi!!!!!!!!!!!!! Je wanayo plan B sasa?
  8. K

    Ujerumani: Tundu Lissu afanya mahojiano na kituo cha utangazaji Deutsche Welle(DW)

    kwani hao wanaonunua midege kila siku, wanamsaidiaje bibi yako? kaone maisha anayoishi !!!!!!
  9. K

    Tundu Lissu ametaka madaraka ya Rais yadhibitiwe

    ANAYE ICHAFUA NNCHI NI YULE ALIYE MPIGA RISASI 17 AU YULE ANAYEONGEA UKWELI WA HALI HALISI YA KISIASA NCHINI NA MATHILA YALIYOMKUTA?
  10. K

    Tundu Lissu ametaka madaraka ya Rais yadhibitiwe

    Kwa wale wanaosema TL anaichafua Nchi, Naomba tuangalie clip hii na tuseme ukweli Wapi mheshimiwa TL alipoichafua Tanzania yetu?
  11. K

    Utafiti: Tanzania ni moja ya mataifa yenye watu wavivu sana Afrika

    Na watanzania ni warahisi sana kudanganyika na watawala wao, wanaaimini kila kitu wasemacho watawala ni cha kweli. Wavivu sana kuhoji
  12. K

    Je, Serikali ni mali ya kiongozi au ni mali ya umma?

    KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA MWAKA 1977 UTANGULIZI MISINGI YA KATIBA Sheria ya 1984 Na.15 ib.3 KWA KUWA SISI Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tumeamua rasmi na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na amani: NA KWA KUWA...
  13. K

    Je, Serikali ni mali ya kiongozi au ni mali ya umma?

    Quotation: "When government fears the people, there is liberty. When the people fear the government, there is tyranny." By TJ Viongozi wanatakiwa kua wanyenyekefu mbele ya watu wanaowaongoza, kwa sababu mamlaka waliyapata kutoka kwao. Lakini kama mfumo wa uchanguzi hautoi kiongozi watu...
  14. K

    Uzinduzi wa Maktaba UDSM: Rais Magufuli amtaka Lowassa akawashauri anaowaongoza, otherwise wataishia magerezani wakajifunze kufuata sheria

    Ndugu yangu Phillipo sheria ni msemeno, unakata pande mbili, lakini kwa awamu hii ya tano, unakata pande moja tu. Je yule aliyewanyima vibali mawakala wa CHADEMA , hakuvuja sheria?
  15. K

    Rais Magufuli ammwagia sifa Mzee Lowassa, amuita 'superman'

    Hivi kupiga KELELE ni kuvunja sheria gani za Watanzania? kuna kelele za aina mbili; kelele za kusifia na kelele za kupinga. sasa hapa JIWE ana refer kelele za kupinga na kuhoji ndio JINAI kwake na wataishia MAGEREZANI.
  16. K

    Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

    Hii ni dharau sana kwa jeshi letu, yaani wao hawawezi hii kazi ya kumlinda amirijeshi wao, wanachoweza ni kubangua koro-show kwa meno. What a shame!!!!!!!
  17. K

    Mahakama yawafutia dhamana M/kiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko

    This is very true, CHADEMA sio SMART huwezi kushinda hii vita kijinga hivi, wewe unajua anatafutwa uingie kwenye 18 za watu, halafu unaingia kizembe kizembe hivi. Hivi Mbowe hakujua masharti za dhamana?
  18. K

    Tulizoea maisha ya ujanja ujanja kurudi kwenye halali tunaona nongwa

    Kodi kila mtu anataka kulipa, vile vile tunahitaji mazingira mazuri ya kufanyia biashara. HAKUNA NCHI DUNIA HII ILIYOENDELEA KWA KUWAFANYA MATAJIRI WAISHI KIMASIKINI.
  19. K

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Wazungu walivaa mask !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! porojooooo
  20. K

    Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    First they came for the socialists, and I did not speak out— Because I was not a socialist. Then they came for the trade unionists, and I did not speak out— Because I was not a trade unionist. Then they came for the Jews, and I did not speak out— Because I was not a Jew. Then they...
Back
Top Bottom