Recent content by kashuzi critical

  1. kashuzi critical

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    jamani hakuna mtu ambae hata onja mauti... sote tuta pita njia hiyo hiyo ila kWa namna tofauti,, Mungu alilaze roho ya shario Millionea mahal pema peponi AMEN
  2. kashuzi critical

    Nimekoma sirudiii tenaaa!

    pole man ila usiwe unapenda miteremko kama hiyo ya huyo dada aliyekuita......
  3. kashuzi critical

    he doesnt know what to do

    poleni na kazi wanajamii. Nina rafiki wangu wa karibu sana tangu secondary na sasa hivi tupo chuo. amepata shida hii na ameniomba msaada wa kiakili nkasema niwaambie na nyie ndugu zangu. alianza mahusiano akiwa kidato cha nne na alikuwa na furaha sana yeye na mwenzi wake. Wakachaguliwa...
Back
Top Bottom